kiungulia kinanitesa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kiungulia kinanitesa

Discussion in 'JF Doctor' started by sop sop, May 30, 2012.

 1. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  jamani naombeni msaada wa dawa ya kiungulia,nifanye nini ili kiishe....!!!!
   
 2. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Kiungulia ni dalili ya mwanzo ya vidonda vya tumbo, nenda hospital ili wakufanyie vipimo na kuweza kujulikana kama kweli unavyo.
  Kwa muda huu unatakiwa kuepuka kula vya aina ya wanga, hivi vyakula uprecipitate kiungulia kutokea kwa wenye vidonda vya tumbo.
   
 3. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,024
  Likes Received: 2,645
  Trophy Points: 280
  Nenda hospitali ukamuone daktari,ila kama hospitali ni mbali wakati ukisubiri kumuona daktari unaweza tumia Magnesium trisilicate tablets zinasaidia kupunguza maumivu au nunua dawa ya maji inaitwa Relcer nayo pia inaondoa hiyo hali ila tu itabidi uache kula/kunywa vitu vyenye acid nyingi.
   
 4. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Tumia Omeprazole au lansoprazole zitakusaidia.
   
Loading...