monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,265
- 11,303
Ukiua kwa upanga?Sasa mbona kwa Majibu yako haya Kwangu Wewe ndiye umejionyesha kabisa ni jinsi gani ulivyo Mpumbavu Mwandamizi kabisa?

Fact, case closedSijawahi kumuona Mkude kama Kiungo Mkabaji, ni kwamba anacheza eneo LA ukabaji lakini hajawahi kucheza kama kiungo mkabaji, Mkude ni mzuri sana timu inapokuwa na mpira, hapo utampenda sana, anajua kujiposition na kutoa pasi kwa wenzake, uwezo wake wa kunyang'anya mpira bila kucheza faulo ni mdogo sana
Anaitwa Kelvin Nashon Naftar
Yes ni JKT TanzaniaYule wa JKT Ruvu ?
Fact, case closedIla kiukweli kumlinganisha fei toto na mkude ni kumkosea sana heshima mkude. Fei toto alinganishwe na Ndemla na kwa jicho la kimchezo Ndemla yuko juu.
Yes ni JKT Tanzania
Gentamycene katika ubora wakoSijawahi Kupenda vibovu vibovu hata Siku moja na nilisema kuwa kwa sasa Tanzania bado sijaona Kiungo Mkabaji bora kama Mdogo wangu mwenyewe Jonas Gerald Mkude ila kuna Watu walinipuuza lakini kwa Kazi ya Mkude Uwanjani sasa amewajibu na wamenyamaza.
Ni Kocha ( Mwalimu ) Mpumbavu tu kama si Mpuuzi wa mfano wa yule Kocha ambaye alibahatisha Kutupeleka AFCON 2019 na kwa Msaada mkubwa wa Ujirani mwema wa Uganda na Tanzania lakini pia akatuwekea Rekodi ya pekee huko Misri kwa Tanzania kufanya vibaya mechi zote na kukosa hata Alama moja tu ndiyo hatoona Umuhimu wa Kiungo wangu Kipenzi na Fundi kabisa katika Dimba la Kati ( hasa upande wa Ukabaji ) kama Jonas Gerald Mkude.
Utasemaje Mkude hafai huku karibia Makocha wote wakubwa na mahiri ambao wamewahi Kuifundisha Simba SC na hata Timu ya Taifa walishasema kuwa kwa sasa Tanzania nzima hakuna Mchezaji wa Kiungo hasa cha Ukabaji na anayejua Majukumu yake vyema kama Jonas Gerald Mkude? Na ukiona Kocha anamchukia Mkude jua anamuonea Wivu tu au ana Chuki nae binafsi au ana ' Udalali ' na baadhi ya Wachezaji ili awauze Ulaya na apate 10% yake.
Namwomba aliyekuwa Kocha wa Taifa Stars Emanuel Amunike a.k.a Mpuuzi aje atuombe Radhi haraka Watanzania kwa Kitendo chake cha Kutudanganya juu ya Uwezo wa Kiungo Jonas Gerald Mkude huku akimtangaza vibaya kuwa ni Muhuni ( Mvuta Bangi ) wakati Mimi kama An Eagle nawajua zaidi ya Wachezaji wa Taifa Stars tena ' Waandamizi ' kabisa ambao ni Wavuta Bangi mahiri na wazuri kuliko hata huyu Mwanangu mwenyewe Mkude.
Kwa aina ya Mpira wa Kiwango cha juu ambao anaucheza sasa Mkude nina uhakika huyu Kocha ' Mpuuzi ' Emanuel Amunike huko aliko sasa anaona Aibu na anajisikia vibaya mno kwani ' Dogo ' Mkude anamdhihirishia kuwa alizaliwa kuja kuwa ' Kiungo Mkabaji ' na pia aliye na ' tuvituvitu ' vitamu vitamu Uwanjani huku akiichezesha Timu anavyotaka na akiwapa Likizo / Nafuu Mabeki ' Waandamizi ' wa Stars ambao pia ni Kaka zake Kiumri akina Yondani na Nyoni.
Ni Wachezaji Watatu tu kama si Wanne ambao tokea Timu hii Taifa iwe chini ya ' Mtaalam ' Kocha Ndayiragije ndiyo hawakubadilishwa au hata Kupumzishwa katika Mechi ambazo Timu imecheza na huyu ' Mwanangu ' mwenyewe Mkude nae akiwemo na hii inathibitisha kwamba Kocha na jopo lake wakiwemo akina Juma Mgunda na Kocha ambaye ndiyo alimuibua, amemtengeneza na kumpika Mkude hivi Suleiman Abdallah Matola a.k.a Veron a.k.a Mzambia hawana Mashaka nae na wanakikubali kile ambacho anakifanya hasa katika Dimba la Chini ( Kiungo cha Chuma )
Na tokea Mkude arejeshwe Taifa Stars ndiyo nimekuwa na Mapenzi nayo sasa na huenda ndiyo maana inabarikiwa vile vile japo tusifichane wala kupeana Moyo kwa hatua hii ya Makundi ambayo tunaenda Kupangwa sasa ndiyo tukicheza tufanikiwe kwenda katika Fainali za Kombe la Dunia huko Qatar mwaka 2022 hapa ndiyo mwisho wetu kwani ili tufanikiwe tunahitaji Maandalizi makubwa na kabambe tena mengi ni ya Kiufundi zaidi kitu ambacho sidhani kama kwa sasa Tanzania tutakiweza ila tukianza Maandalizi sasa ya Kombe la Dunia la 2026 nina uhakika tunaweza Kushiriki.
Hongera sana ' Mwanangu ' mwenyewe Jonas Gerald Mkude kwani unalikamata Dimba la Kati kama vile ninavyotaka. Watakukoma!
Sasa hv timu inajengwa pale Yanga Fei namba anaitafuta kwa tochi... AMUNIKE alitaka kutuvurugia timu yetu kwa madogo kama huyuKiungo bora wa Tanzania ni Fei Toto
Fei Toto bado ni kiungo bora kwa sasa Tanzania, Mkude hamna kitu
Kiungo gani hata pass hajui kazi yake kufau sema kwa sasa yule Dogo wa Azam hayupo tu ndio sababu anapata namba timu ya taifaSijawahi Kupenda vibovu vibovu hata Siku moja na nilisema kuwa kwa sasa Tanzania bado sijaona Kiungo Mkabaji bora kama Mdogo wangu mwenyewe Jonas Gerald Mkude ila kuna Watu walinipuuza lakini kwa Kazi ya Mkude Uwanjani sasa amewajibu na wamenyamaza.
Ni Kocha ( Mwalimu ) Mpumbavu tu kama si Mpuuzi wa mfano wa yule Kocha ambaye alibahatisha Kutupeleka AFCON 2019 na kwa Msaada mkubwa wa Ujirani mwema wa Uganda na Tanzania lakini pia akatuwekea Rekodi ya pekee huko Misri kwa Tanzania kufanya vibaya mechi zote na kukosa hata Alama moja tu ndiyo hatoona Umuhimu wa Kiungo wangu Kipenzi na Fundi kabisa katika Dimba la Kati ( hasa upande wa Ukabaji ) kama Jonas Gerald Mkude.
Utasemaje Mkude hafai huku karibia Makocha wote wakubwa na mahiri ambao wamewahi Kuifundisha Simba SC na hata Timu ya Taifa walishasema kuwa kwa sasa Tanzania nzima hakuna Mchezaji wa Kiungo hasa cha Ukabaji na anayejua Majukumu yake vyema kama Jonas Gerald Mkude? Na ukiona Kocha anamchukia Mkude jua anamuonea Wivu tu au ana Chuki nae binafsi au ana ' Udalali ' na baadhi ya Wachezaji ili awauze Ulaya na apate 10% yake.
Namwomba aliyekuwa Kocha wa Taifa Stars Emanuel Amunike a.k.a Mpuuzi aje atuombe Radhi haraka Watanzania kwa Kitendo chake cha Kutudanganya juu ya Uwezo wa Kiungo Jonas Gerald Mkude huku akimtangaza vibaya kuwa ni Muhuni ( Mvuta Bangi ) wakati Mimi kama An Eagle nawajua zaidi ya Wachezaji wa Taifa Stars tena ' Waandamizi ' kabisa ambao ni Wavuta Bangi mahiri na wazuri kuliko hata huyu Mwanangu mwenyewe Mkude.
Kwa aina ya Mpira wa Kiwango cha juu ambao anaucheza sasa Mkude nina uhakika huyu Kocha ' Mpuuzi ' Emanuel Amunike huko aliko sasa anaona Aibu na anajisikia vibaya mno kwani ' Dogo ' Mkude anamdhihirishia kuwa alizaliwa kuja kuwa ' Kiungo Mkabaji ' na pia aliye na ' tuvituvitu ' vitamu vitamu Uwanjani huku akiichezesha Timu anavyotaka na akiwapa Likizo / Nafuu Mabeki ' Waandamizi ' wa Stars ambao pia ni Kaka zake Kiumri akina Yondani na Nyoni.
Ni Wachezaji Watatu tu kama si Wanne ambao tokea Timu hii Taifa iwe chini ya ' Mtaalam ' Kocha Ndayiragije ndiyo hawakubadilishwa au hata Kupumzishwa katika Mechi ambazo Timu imecheza na huyu ' Mwanangu ' mwenyewe Mkude nae akiwemo na hii inathibitisha kwamba Kocha na jopo lake wakiwemo akina Juma Mgunda na Kocha ambaye ndiyo alimuibua, amemtengeneza na kumpika Mkude hivi Suleiman Abdallah Matola a.k.a Veron a.k.a Mzambia hawana Mashaka nae na wanakikubali kile ambacho anakifanya hasa katika Dimba la Chini ( Kiungo cha Chuma )
Na tokea Mkude arejeshwe Taifa Stars ndiyo nimekuwa na Mapenzi nayo sasa na huenda ndiyo maana inabarikiwa vile vile japo tusifichane wala kupeana Moyo kwa hatua hii ya Makundi ambayo tunaenda Kupangwa sasa ndiyo tukicheza tufanikiwe kwenda katika Fainali za Kombe la Dunia huko Qatar mwaka 2022 hapa ndiyo mwisho wetu kwani ili tufanikiwe tunahitaji Maandalizi makubwa na kabambe tena mengi ni ya Kiufundi zaidi kitu ambacho sidhani kama kwa sasa Tanzania tutakiweza ila tukianza Maandalizi sasa ya Kombe la Dunia la 2026 nina uhakika tunaweza Kushiriki.
Hongera sana ' Mwanangu ' mwenyewe Jonas Gerald Mkude kwani unalikamata Dimba la Kati kama vile ninavyotaka. Watakukoma!
Hakuna mchezaji pale mpira umepita kwenye miguu yake alikuwa analindwa na chama na koteiMbona mechi ya UD Songo hakusababisha Simba ishinde na kuzuia lile goli au hakucheza?
Mkude hamna kitu paleIla kiukweli kumlinganisha fei toto na mkude ni kumkosea sana heshima mkude. Fei toto alinganishwe na Ndemla na kwa jicho la kimchezo Ndemla yuko juu.