Kiumbe yupi ni hatari zaidi duniani?

Actually malaria ndo inaongoza kwa kusababisha vifo vingi kwa binadamu sema haina kelele sana manake wengi wanaokufa ni kutokea nchi maskini duniani
 
2
Hawa ni baadhi ya wanyama na wadudu wanaojulikana zaidi duniani ambao ni hatari na wanaongoza zaidi kwa kusababisha vifo vya watu wengi duniani kwa makadirio ya kila mwaka.

KIUMBE ā€” VIFO

26. Popo 2
25. Dubu. 3
24. Papa. 4
23. Buibui. 7
22. Mbwa mwitu. 10
21. Ng'ombe. 20
20. Farasi. 20
19. Simba. 22
18. Chui. 29
17. Siafu. 30
16. Nyuki. 53
15. Jellyfish. 110
14. Chui milia. 125
13. Deer. 130
12. Nyati. 200
11. Kiboko. 500
10. Tembo. 500
9. Tapeworm. 700
8. Mamba. 1000
7. Nge. 12000
6. Mbung'o. 20,000
5. Konokono. 20,000
4. Mbwa. 25,000
3. Nyoka. 50,000
2. Binadamu. 435,000
1. Mbu. 725,000

MAPINDUZI
-Popo (2019/20) zaidi ya 200k.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom