Kiumbe hatarishi zaidi duniani

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,005
9,872
Mbu ndiye kiumbe tishio zaidi duniani.

Hii ni kutokana na vifo vinavyotokana na magonjwa anayosambaza, inakadiriwa watu 725000 hadi milioni moja hufa kila mwaka kutokana na kiumbe huyu.

Mbu anayeitwa Anofelesi ndio husababisha vifo Zaidi. Mbu husambaza vimelea wakati wananyonya damu.

Katika vimelea vinavyosambazwa na mbu, vimelea hatarishi kuliko vyote ni plasmodiam ambavyo husababisha malaria

Mbu wako kwenye Kitabu cha Guinness cha mwaka 2019 kama kiumbe hatarishi zaidi duniani.

1579606416660.png

Hii ni picha mbu akiwa ametoka kufuturu damu
 
Mbona haogopwi wala kunyanyapaliwa kama HIV
Hapo kale aliogopwa mpaka kuanzishwa viwanda vya viuatilifu na baadaye kutengenezwa mbu anayeua uzao wa huyu hatari.

Issue ya HIV ni muda tu, nao ushaanza kuzoeleka, ni muda tu ukifika.
 
Ila mbu wanakera sana aisee, kiumbe mdogoo ila msumbufu hatari, af mtaalam kwel wa kuvizia kunyonya dam bila kugundulika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom