Kiukweli napenda sana buti: Unavalia suruali nyingi

e1e752ec32de096b5af1be802a85efd6.jpg
i like this, where can i get
Nicheki WhatsApp utapata 0718840329
 
Napenda sana kuvaa buti,
Yani huwa najisikia huru sana kuliko hata nikivaa Sneakers,
Naweza nikavalia suruali za aina nyingi bila kuleta tatizo lolote, kuanzia jeans hadi kitambaa.
Hivi sehemu gani wanauza Buti za maana kuanzia Chelsea boots, Ankle Boots (Travolta zilizopanda), Desert Boot (Ubuyu), Work Boot ????
View attachment 442635
Hii inaitwa Chukka Boot wengi wetu mtaaani tunaiita Ubuyu, imetengenezwa na Newman.
Yani nataka ninunue buti kubana matumizi kwasababu zinakaa muda sana kuliko sneakers.
huu mzigo ni sh ngapi
 

Attachments

  • 20190623_115101.jpg
    20190623_115101.jpg
    161.3 KB · Views: 37

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom