Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,786
Sijaelewa ni kwa nini tunakwenda kutumia fedha nyingi namna hiyo kujenga Bandari mpya Bagamoyo, wakati Dar kuna Bandari, Tanga ipo na Mtwara pia ipo, ni kwa nini hiyo fedha tusingeigawanya kwenye kuboresha hizi Bandari kwanza?
Kwa mfano ilipaswa eneo lote la Kaskazini lihudumiwe na Bandari ya Tanga lkn cha ajabu linahudumiwa na ya Mombasa, au eneo lote la Kusini lilipaswa lihudumiwe na Bandari ya Mtwara.
Hivyo binafsi sijaona logic ya kujenga Bandari kubwa namna hiyo Bagamoyo, ...