Kiukweli, Diamond ni mweupe sana jukwaani

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,196
25,515
Jana, kwenye tuzo za soka za Shirikisho la Soka Afrika (CAF), mwanamuziki Diamond alitumbuiza. Katika tuzo hizo zilizofanyika katika jiji la Abuja, nchini Nigeria Diamond alitumbuiza nyimbo nne. Diamond, aliyeambatana na Rayvanny na wachezaji wake wa jukwaani, hakufanya vyema.

Hayo ni maoni yangu binafsi kwa nilivyomuona. Kwanza, Diamond alionyesha jinsi asivyo na pumzi ya kutosha ya kuimba nyimbo zake jukwaani mfululizo. Pili, Diamond muda mwingi aliacha CD iimbe na yeye akiwa kimya au akiongea mambo tofauti na wimbo wake.

Kiukweli, Diamond ni mweupe na mwepesi sana jukwaani katika kutumbuiza. Diamond ana jambo la kulifanyia kazi katika kutumbuiza jukwaani. Au, aishie kurekodi nyimbo zake na aachane na show za stejini. Maana jana alijitahidi tu kujing'ata midomo yake.
 
Sija angalia show yake, ila nnacho jua diamond ni performer sasa ukiwa perfomer halafu ukaweza na kuimba ni wachche sana wame fanikiwa, na hasa aliye kuwa mtaalam ni Michael Jackson.
Ila hata kina chris brown siku wana perform huwa hawako vzuri sana kwenye kuimba kwa kuwa ni kaz kweli kweli.
Na ndio maana baadhi ya watu toka mwaka 2013 wana lalamika hilo hilo, ila jamaa haachi kupata show ndio kwanza zina ongezeka so nadhan aongeze tu mazoez ila ni ngumu kubalance performance ya juu na kuimba furesh kwa wasanii wengi, na imani ukimpa kiti akae tuu halafu aimbe ana weza imba poa tuu.
 
Na ndio maana baadhi ya watu toka mwaka 2013 wana lalamika hilo hilo, ila jamaa haachi kupata show ndio kwanza zina ongezeka so nadhan aongeze tu mazoez ila ni ngumu kubalance performance ya juu na kuimba furesh kwa wasanii wengi, naimnai ukimpa kiti akae tuu halafu aimbe ana weza imba poa tuu.
Anapaswa kujitahidi kucheza na kuimba kwa kiwango kinachokaribiana
 
Jana, kwenye tuzo za soka za Shirikisho la Soka Afrika (CAF), mwanamuziki Diamond alitumbuiza. Katika tuzo hizo zilizofanyika katika jiji la Abuja, nchini Nigeria Diamond alitumbuiza nyimbo nne. Diamond, aliyeambatana na Rayvanny na wachezaji wake wa jukwaani, hakufanya vyema.

Hayo ni maoni yangu binafsi kwa nilivyomuona. Kwanza, Diamond alionyesha jinsi asivyo na pumzi ya kutosha ya kuimba nyimbo zake jukwaani mfululizo. Pili, Diamond muda mwingi aliacha CD iimbe na yeye akiwa kimya au akiongea mambo tofauti na wimbo wake.

Kiukweli, Diamond ni mweupe na mwepesi sana jukwaani katika kutumbuiza. Diamond ana jambo la kulifanyia kazi katika kutumbuiza jukwaani. Au, aishie kurekodi nyimbo zake na aachane na show za stejini. Maana jana alijitahidi tu kujing'ata midomo yake.
Safi Sana mtu makini wewe
 
Sija angalia show yake, ila nnacho jua diamond ni performer sasa ukiwa perfomer halafu ukaweza na kuimba ni wachche sana wame fanikiwa, na hasa aliye kuwa mtaalam ni Michael Jackson.
Ila hata kina chris brown siku wana perform huwa hawako vzuri sana kwenye kuimba kwa kuwa ni kaz kweli kweli.
Na ndio maana baadhi ya watu toka mwaka 2013 wana lalamika hilo hilo, ila jamaa haachi kupata show ndio kwanza zina ongezeka so nadhan aongeze tu mazoez ila ni ngumu kubalance performance ya juu na kuimba furesh kwa wasanii wengi, na imani ukimpa kiti akae tuu halafu aimbe ana weza imba poa tuu.
Msami baby kwa Tz ndio kiboko yao! Ana perform huku anaimba
 
Anapaswa kujitahidi kucheza na kuimba kwa kiwango kinachokaribiana
Hata hivo sku hizi ka improve zamani ilikuwa worse.
Siyo rahis kuimba na kucheza live we jamaa unless hujawahi imba.

Tafuta show za lady gaga alizo imba na kucheza live uone ni mbaya, na mostly wenzetu huwa wana hakikisha aki imba na kucheza ni 35% tuu ya wimbo ndio ataimba live otherwise cd itafajya kazi yake.

*unakumbuka fiesta wasanii waliimba live tu bila kucheza lakini ilibidi irudshwe CD, sio rahisi guys kama mnavo fikiri, though nakubali diamond anahitaji mazoez zaidi
 
Back
Top Bottom