Kiukweli baada ya kifungo cha Mramba na Yona sikutegemea mawaziri kufanya madudu!

Martin George

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,695
1,470
Pamoja na udogo wa adhabu bado naamini lile lilikuwa ni funzo tosha kwa mawaziri wetu kutojiingiza kwenye tamaa binafsi. Sasa wakati Mramba na Yona wanafagia hospitali pale palestina, kumbe kule serikalini watu walikuwa wanaendeleza wizi tena kwa mbinu na mtindo ule ule! Hakika japo jela kubaya lakini uwoga wako ndio umaskini wako lakini usisahau kwamba ' tamaa mbaya'...... Ahsante!
 
Mramba na YONA hawakufungwa,aliyefungwa ni Babu Seya na wanawe

May Allah bless Me and You
 
Kama hujui kama Mramba na Yona walifungwa hata hadhi yao si rahisi ukaijua!
Yona na Mramba walihukumiwa miaka 3, hata mwaka hawakuumaliza JELA.
Utasema wamefungwa hao?
Kufagia barabara asbuh na kurud kulala kwao MASAKI ndo useme WALISHUSHA HADHI YAO?
Wameisababishia hasara nchi kwa bil 11 kisha wanaenda kufagia hosp ambako tayar kuna watu wameajiriwa kwa kazi hiyo kisha useme ile nayo adhabu.
Wewe shule hujawah kufagia?

hivi mshahara wa wale wafagizi wa hospitali huwa ni kiasi gani kwa mwaka mzima nataka kujua wale mafisadi katika ile hasara waliyoisababisha wamefidia kiasi gani kwa kufanya usafi eneo linalosafishwa
 
Back
Top Bottom