Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 14,378
- 26,702
Kabla ya kupima utendaji wake ni vizuri kujua yeye yuko upande wa Nani?
Tutajie kwanza hizo pande tuone!
Kabla ya kupima utendaji wake ni vizuri kujua yeye yuko upande wa Nani?
Yes mkuu ila sipendi tuonekane tuna mabishano makubwa,ila yakihusisha FACTS itakua vema,malori unayoyazungumzia sio idadi kubwa sana,angalia T1 malori ni ya kawaida mno,kuna kipande cha barabara from kapiri mposhi to copperbelts in Zambia malori ni mengi mno na yenye kubeba mizigo mikubwa na ajali ni za kawaida ,tatizo kubwa letu ni BARABARA zetu ni mbovu karibu zote,kuna N3 from jhb to Durban malori ni mengi mengi mno but ajali zinazotokea sio sawa na hizi za kwetu.Ukijumlisha na malori inakuwa hatari tupu
Yes mkuu ila sipendi tuonekane tuna mabishano makubwa,ila yakihusisha FACTS itakua vema,malori unayoyazungumzia sio idadi kubwa sana,angalia T1 malori ni ya kawaida mno,kuna kipande cha barabara from kapiri mposhi to copperbelts in Zambia malori ni mengi mno na yenye kubeba mizigo mikubwa na ajali ni za kawaida ,tatizo kubwa letu ni BARABARA zetu ni mbovu karibu zote,kuna N3 from jhb to Durban malori ni mengi mengi mno but ajali zinazotokea sio sawa na hizi za kwetu.
Hivi mbeleko bado zipo kwasanaNashangaa sana, waziri simbachawene anafanya kazi zipi? au hata majukumu yake baadhi hayajui.
Nitazungumzia swala la ajali za barabarani kwa sasa naona ndio janga lililopo.
Nadhani ndani ya mwezi wa tisa ni ajali zaidi ya ishirini zimetokea na kuondoa watu, mwezi huu tena wa kumi wembe ni ule ule tangu tarehe moja ni ajali.
Una vitu vingine lazima tu tuwe na akili ya kujihoji kwanini kipindi cha awamu ya tano ajali zilipungua kwa kiasi kikubwa?
Kwanini sasaivi kuna mlolongo wa ajari kila week watu wanakufa na ajali nyingi zinahusisha mabasi tatizo nini? Sasahivi hadi kuna ligi za mabasi watu wanabeti na inajulikana kabisa iko wazi, lakini mhusika hata kutoa tu tamko kashindwa?
Waziri yupo tu anazurula zurula inamaana ameridhika na ajari hizi?
Imekua Tanzania ya ajali sasahivi. Kiukweli Waziri Simbachawene sasaivi tuambiane ukweli tu hiyo nafasi hauiwezi imekushindwa swala la ajali barabarani limekushindwa huna mbinu, umezidiwa hadi na Kangi Lugola,
Utoke tu hapo utupishe,
inaumiza sana na inatia hasira
mawaziri mizigoKuna roba jingine la kinyesi hapo Madini... yaani utadhani hana kichwa... ni kuwaza wizi, utajiri na madaraka. Full pangua panga... na hivi msaidizi ni yule msabato wetu hana anachoweza kuongea. Mfano halisi Tume ya madini mpaka aibu.
Ni ishara ya kutokujua kiongozi anayelaumiwa anafanya kazi gani.Watanzania bwana hata angeshuka malaika awaongoze mtalaaumu tu.kila kiongozi hawezi kazi daaaaa
Kangi Lugora alikuwa vizuri. Huyu hata kumhusu Moses Lijenje amewahi hata kuhoji aliko?
😅😅😅Nashangaa sana, waziri simbachawene anafanya kazi zipi? Au hata majukumu yake baadhi hayajui.
Nitazungumzia swala la ajali za barabarani kwa sasa naona ndio janga lililopo.
Nadhani ndani ya mwezi wa tisa ni ajali zaidi ya ishirini zimetokea na kuondoa watu, mwezi huu tena wa kumi wembe ni ule ule tangu tarehe moja ni ajali.
kuna vitu vingine lazima tu tuwe na akili ya kujihoji kwanini kipindi cha kangi Lugola ajali zilipungua kwa kiasi kikubwa?
Kwanini sasa hivi kuna mlolongo wa ajari kila week watu wanakufa na ajali nyingi zinahusisha mabasi tatizo nini? Sasa hivi hadi kuna ligi za mabasi watu wanabeti na inajulikana kabisa iko wazi, lakini mhusika hata kutoa tu tamko kashindwa?
Waziri yupo tu anazurula zurula inamaana ameridhika na ajari hizi?
Imekua Tanzania ya ajali sasa hivi. Kiukweli Waziri Simbachawene sasa hivi tuambiane ukweli tu hiyo nafasi hauiwezi imekushindwa swala la ajali barabarani limekushindwa huna mbinu, umezidiwa hadi na Kangi Lugola.
Utoke tu hapo utupishe.
Inaumiza sana na inatia hasira.