Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Ukifuatilia sana, uhamaji wa serikali kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma ni wa kisiasa na changa la macho tu.
'Operations ' nyingi, vikao vizito vya kimkakati na maamuzi makubwa ya nchi hii yanafanyika (Ikulu ya ) Dar es Salaam na siyo Dodoma.Dar es Salaam ndiko kwenye Central Office (Ofisi Kuu), Dodoma ni Branch (Tawi) tu.
Kila kitu Dar es Salaam, vikao vizito Dar es Salaam, vikao vya kimkakati Dar es Salaam, na hata wala viapo wale wateuliwa wanaapishwa Dar es Salaam.
Dar kuna utamu gani? Nini siri ya Dar es Salaam?