Sasa hapo unategemea kuna maisha ya furaha! Ujuaji usio na maana umemfikisha hapo! Mateso mpaka unaingia kaburini!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapo unategemea kuna maisha ya furaha! Ujuaji usio na maana umemfikisha hapo! Mateso mpaka unaingia kaburini!
Viongozi wakuu wa nchi wako na mamlaka ya kutoa uhai,, Rejea mfalme Daud, solomon,, Bush, Trump, sadam, hitler, uhuru, etc
Tatizo unakurupuka hutaki kuelewa! Tunazungumzia miaka ya 1998 mpaka miaka ya elfu mbili! Huyu unayemiwita mkombozi wako ndo alikuwa anawahadaa wananchi kuwa anawapigania akienda upande wa pili anachukua hela ! Ndo maana baada ya Acacia kubanwa akaanza ngonjera za mikataba na kushitakiwa MIGA! ni msaliti mkubwa huyo taahira wako!
Mimi naeleza tu ukweli, na wala siungi mkono kushambuliwa lisu,,,, Jk alisemwa sana na cdm wakati wa utawala wake, lakini hakumaind,,, kuna watu wengine wana Big Ego,, lazima tujue namna ya kuishi na watu tofauti tofauti,,Unafahamu maana ya mamlaka? Mwendazake alitolewa uhai na wadudu wadogo wasionekana kwa macho!! Kila mtu na mbabe wake. Lissu anadunda!
Lopoka uwezavyo tu lakini ukweli utabaki pale pale mhusika wa kutaka kumuua Lisu Ni Magufuli. Na mmeshindwa hata kufanya uchunguzi.Huyo Tundu Lisu wako alikuja kugombea na hakupata hata kura millioni 2.
Lofa ,zee la MIGA alidhani watanzania ni wajinga watachagua msaliti.
Ila Cha ajabu wenye akili za kuchimba shimo na kufukia mavi mnayokunya zikawaongoza kumpiga risasi Tahahira LISU. Mnaambiwa kila siku DAMU za watu mbaya amsikii laana zitawaandama wauwaji mpaka vizazi vyenu. Manafikili Mungu ni bongo zozo?.Hivi wewe taahira huyo tundu Lisu wako ana nini cha ajabu? Kwa taarifa yako wapuuzi wachache mbebaki kumshabikia hapa jamii forum!
Wewe jamaa ni mpumbavu mno, jua hapa jujwaani hauongei na bibi zako! Hapa unaongea na watu very smart mzee, yaani akina Magufuli na Mkapa etc, wauze madini kwa bei za kutupa kwa kisingizio cha "uwekezaji", waanze uchimbaji, Lissu aanze kupiga kelele juu ya mikataba mibovu, wakati huo akina Magufuli na Mkapa wakimahughulikia kwa kumfungulia kesi lukuki, then leo useme yeye ndiye alikuwa msaliti dhidi ya wananchi wa Bulyanhulu, hiyo akili au matope?Tatizo unakurupuka hutaki kuelewa! Tunazungumzia miaka ya 1998 mpaka miaka ya elfu mbili! Huyu unayemiwita mkombozi wako ndo alikuwa anawahadaa wananchi kuwa anawapigania akienda upande wa pili anachukua hela ! Ndo maana baada ya Acacia kubanwa akaanza ngonjera za mikataba na kushitakiwa MIGA! ni msaliti mkubwa huyo taahira wako!
Very true!..hiki ulichoandika hapa ni UONGO.
..Accacia au Barrick sio wajinga waanze kuhonga wanaharakati au wabunge wa upinzani wasiokuwa ktk chain ya kupitisha mikataba ya madini.
..Waliokuwa ktk nafasi ya kuhongwa na makampuni ya madini ni maafisa wa serikali kama kamishna wa madini/ nishati , katibu mkuu wa wizara, waziri,...watu waliokuwa na nafasi na madaraka ya kufanya maamuzi serikalini.
..Hiki unachokifanya ni jitihada za kumchafua Lissu ili kuhalalisha jaribio la kutaka kumuua. Watanzania sio wajinga, na hawawezi kudanganyika kwa uzushi usio na maana kama huu ulioandika.
Kwani Maguffuli amemuua nani?Labda matahira yasio elewa mbele wala ndio walimpenda.
Nyerere&Mkapa na viburi vyao hawakuwa wahi kuua watu ambavyo Magufuli ameua,amerudisha kila kitu nyuma kuanzia uchumi mpaka demokrasia.
Alikuwa anaua wenzake kama nzi na mbu Leo hii yeye sijui yupo wapi.
Hutakiwi kujiuliza maswali mengi namna hii kuhusiana na swala hili na kwa mlengo kama huu usio sahihi, bali unatakiwa ujiulize kwa nini kuna mtu mahali fulani alibuni swala la MAKINIKIA!..serikali imeshindwa kujitetea ilikuwaje walinzi wake wakaondolewa area D eneo aliposhambuliwa Tundu Lissu.
..pia kitendo cha serikali ya awamu ya 5 kukataa ombi la kushirikisha wachunguzi wa kimataifa, na yenyewe kushindwa kuwabaini wahusika mpaka leo, kinaleta hisia kuwa waliohusika kumshambulia Lissu wako miongoni mwao.
Hahhaa kweli aisee maana Jiwe ndio badi tena Milele na mileleTundu antipasti lissu the president of united republic of tanzania anayeishi ubelgiji yulee aliyempora ushindi anaishi kuzimu huko Kijijini chato
Au ungeandija hivi " kitengo cha kumpiga lisasi tundu lisu kimesababisha awamu ya tano kutolewa madaraka "
Uchaguzi uliishia kwenye kampeni. Kabla ya tar 28 octoba tulishaona mshindi TL kila kona ya Nchi.Kwa uchaguzi ipi mkuu, jiwe alipigwa za uso na wananchi nweye akili timamu mpaka akapora uchaguzi. Kumbuka alikiri mwenyewe kuiba kura
Tunajua tukio lile ulifurahia mno na ukapanga shereh baada ya mazishi! Ila ilikuja U-turn moja hatar wote mkasinyaa mazima 🤣🤣🤣🤣Wewe kama ni muhaya ni mojawapo ya wahaya WAPUMBAVU sana. Kalyamagosi gaasho.
Legacy alioiacha itakayodumu hadi kiama ni hii hapa uliyoiandikaMambo yote ya awamu ya Tano yanaonekana kama hakuna cha maana kilichofanyika na chanzo kikubwa ni jaribio la mauaji kwa Tundu Lissu.
Kwa kuhitimisha hakuna legacy yeyote iliyoachwa na Mwanazake.
Asiye na cha ajabu anapangiwa mauaji ?Hivi wewe taahira huyo tundu Lisu wako ana nini cha ajabu? Kwa taarifa yako wapuuzi wachache mbebaki kumshabikia hapa jamii forum!
Unammalizaje mtu ambaye tayari amemalizwa na Mungu ?Kama ni kweli Tundu Lisu alipigwa risasi kwa amri ya Magufuli kwa nini sasa hawaweki ushahidi mezani ili kummaliza kabisa ? Tunaona wanaomchukia Magufuli wote sasa wana power kuanzia chamani mpaka Serikalini na wanajaribu kwa kila hali kummaliza chochote alichofanya, sasa kwa nini wasiweke wazi kwamba Magufuli alihusika na kuwashitaki Mahakamani wahusika kwa maana wanawajua kama ni kweli ni Amri ya Raisi ?
Kwa nini Tundu harudi Tanzania kwa sasa ni salama kwake ?
Takhbiiiiiiirrr !!Hili lijamaa lilikuwa na roho mbaya kama shetan! Yaan umtoboe binadam mwenzako marisasi yote yale! Malaika wa adhabu wanatakiwa wamtupie kwenye moto mkali Hawia! Moto uliotayarishwa kwa ajili ya shetan