Kiufupi Sports Arena imekufa baada ya Kitenge kuondoka

Nasikia Diva nae ndo kazi anayoifanya pale, ila sio mda mrefu nae ataondoka akishakamilisha uchunguzi wake
Diamond ni ccm, kwa hiyo wao TISS manowasema wangekuwa wanawachunguza wasafi kuwa itahatarisha usalama wa taifa?
 
Huwa nakisikiliza kwa sababu ya ambangile, na ile segment ya basketball tu
 
Ambangile ni Trash au Post yako ndio Trash?
Mi sio mnazi wa soka... Ila yule mwamba anajua
Genius
 
Ambagile anazingua mtu anaongea mpaka anakera hawezi kujikadiria hivi hawaoni kina amri kiemba na gef lea wanavyochambua pamoja na waachambuzi wa u live,

Ambagile anaweza akaongea mada tatu kwa wakati mmoja yaani kiufupi haeleweki sasa hivi anamuiga alikamwe na mambo 10 ila yeye uchambuzi wake hauna mpangilio.
 
Edo simwoni kama ni bora kiuchambuzi. Abaki kwenye makala.

Ambangile ni trash

Yule mdada kidogo kwa mbaaaaaaaaali Anajitahidi

Ahmed ni mtangazaji sio mchambuzi

Ricardo momo akiacha kazi wasafi fm hapati kazi radio nyingine..

Za chini chini Anaefata kuondoka ni Lil Omy,

Hata beki tatu wa ndani hawezi kukaa miezi 3 bila mshahara, japo kua anakula na kulala.


View attachment 1882451
Huyu ni vuvuzela tu
 
Unapata tabu na Diamond, ila uzuri humpunguzii kitu.

Kitenge ni Professional, ukimpandia dau unamchua ,kesho anaweza rudi tena Wasafi, sio wewe magroup mia ya WhatsApp huna mda hata wa kuijenga carrier yako.
Ila mkuu kitaalamu inatwa career sio carrier...
 
Hicho kipindi kina wachambuz
Karibia 10 Kwa wakati mmoja

Sasa nauliza hao n wachambuz
Au n kituo cha daldadal kupgia
Debe??
 
Ambagile anazingua mtu anaongea mpaka anakera hawezi kujikadiria hivi hawaoni kina amri kiemba na gef lea wanavyochambua pamoja na waachambuzi wa u live,

Ambagile anaweza akaongea mada tatu kwa wakati mmoja yaani kiufupi haeleweki sasa hivi anamuiga alikamwe na mambo 10 ila yeye uchambuzi wake hauna mpangilio.
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, ebu punguza makasiriko halafu mpe heshima yake The genius George Ambangile
 
Hicho kipindi kina wachambuz
Karibia 10 Kwa wakati mmoja

Sasa nauliza hao n wachambuz
Au n kituo cha daldadal kupgia
Debe??
Ukishavuta bangi zako unaona double double, Punguza Matumizi ya bangi na makasiriko
 
Back
Top Bottom