Kiu bwana...!

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,782
1471611963399.jpg
 
Mtaka cha uvunguni.....!! lkn huku kuinama kwengine dah!

naifananisha na wazungu kwa afrika et ili tupate misaada tukubali mambo yao duh! Kuzalilishana huku
 
Sasa mbona unapasuka mbavu na kukimbia......... huyo ni Nyaniii au Babooon au Sokwe Mtu?

Hhehehehehehehee au na wewe unaogopa ngumi.... hahahaa (ntakutetea we sema tuu)

Bakora yako inakusubiri hapa Ramada.
 
Bakora yako inakusubiri hapa Ramada.

Hhahahahahaaaa nisubirie Kempisk bana...... walau hapo nakoz zitakuwa sio hevy, ila Ramada hizo nakoz zitakazonishukia kesho hata migulu baja sitaweza kutembea...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom