mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,967 6,462 May 21, 2016 #1 Kwa wale wa secta hii tafadhali tumkaribishe Mzee wetu kitwanga kwa maneno mawili matatu yenye busara sema tu ata kilevilevi, ila usitukane
Kwa wale wa secta hii tafadhali tumkaribishe Mzee wetu kitwanga kwa maneno mawili matatu yenye busara sema tu ata kilevilevi, ila usitukane
kinumi JF-Expert Member Nov 5, 2013 1,027 746 May 21, 2016 #3 Sasa piga mvinyo mwanzo mwisho brother kitwa hapa gambe tu!
mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,967 6,462 May 21, 2016 Thread starter #4 Nadhani siku mbili tatu hizi tutakulipia bill , piga whisk mkuu bili kwetu
KIKOSIKAZI JF-Expert Member Aug 12, 2014 2,219 1,146 May 21, 2016 #5 Karibu Toroka Uje baa, one crate for you!
Phoenix JF-Expert Member Sep 6, 2012 10,587 15,464 May 21, 2016 #6 Pilsner imepanda bei, tsh. Mia tu, tumekimbilia safari ndogo.
chipaka.com JF-Expert Member Dec 5, 2015 2,883 1,189 May 21, 2016 #7 Kabla hajapangiwa kazi nyingine tunamkaribisha Arusha raha
Duduvwili JF-Expert Member Jan 31, 2015 4,252 4,329 May 21, 2016 #9 Banana nazo zimeshuka bei huku mkuu
mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,967 6,462 May 21, 2016 Thread starter #10 Duduvwili said: Banana nazo zimeshuka bei huku mkuu Click to expand... Duh banana na stress so ndo tutammalizia kabisa jamni
Duduvwili said: Banana nazo zimeshuka bei huku mkuu Click to expand... Duh banana na stress so ndo tutammalizia kabisa jamni
mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,967 6,462 May 21, 2016 Thread starter #11 chipaka.com said: Kabla hajapangiwa kazi nyingine tunamkaribisha Arusha raha Click to expand... Huko kuna watoto wa kirangi watamfariji mzee sana
chipaka.com said: Kabla hajapangiwa kazi nyingine tunamkaribisha Arusha raha Click to expand... Huko kuna watoto wa kirangi watamfariji mzee sana
mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,967 6,462 May 21, 2016 Thread starter #12 Ms.Lincoln said: Pilsner imepanda bei, tsh. Mia tu, tumekimbilia safari ndogo. Click to expand... Wee stress na safari si tunatengeneza sumu ?
Ms.Lincoln said: Pilsner imepanda bei, tsh. Mia tu, tumekimbilia safari ndogo. Click to expand... Wee stress na safari si tunatengeneza sumu ?
mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,967 6,462 May 21, 2016 Thread starter #13 KIKOSIKAZI said: Karibu Toroka Uje baa, one crate for you! Click to expand... Mzee apate kawaine au whisk aliyozoea asijemfata mwenzie
KIKOSIKAZI said: Karibu Toroka Uje baa, one crate for you! Click to expand... Mzee apate kawaine au whisk aliyozoea asijemfata mwenzie
MBIIRWA JF-Expert Member May 24, 2013 2,605 5,294 May 21, 2016 #14 New brand Attachments 1463815857899.jpg 21 KB · Views: 41
C Camp Gilgal JF-Expert Member Dec 13, 2014 4,452 4,580 May 21, 2016 #16 Si anaendelea kuwa MBUNGE nyie vipi?!
mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,967 6,462 May 21, 2016 Thread starter #17 Chosen generation said: Si anaendelea kuwa MBUNGE nyie vipi?! Click to expand... Majukumu yamepungua atakuja tuu!!! Usijali
Chosen generation said: Si anaendelea kuwa MBUNGE nyie vipi?! Click to expand... Majukumu yamepungua atakuja tuu!!! Usijali
C Camp Gilgal JF-Expert Member Dec 13, 2014 4,452 4,580 May 21, 2016 #18 mbere said: Majukumu yamepungua atakuja tuu!!! Usijali Click to expand... Aya bhana.
C Camp Gilgal JF-Expert Member Dec 13, 2014 4,452 4,580 May 21, 2016 #19 mbere said: Majukumu yamepungua atakuja tuu!!! Usijali Click to expand... Aya bhana.
kifinga JF-Expert Member Dec 5, 2011 5,249 9,531 May 21, 2016 #20 kwi kwi kwi kwi kwi ngoja nikapige kitwanga bariiiiiiidi