Kitwanga: Hadi sasa bado najiuliza tuna Serikali ya namna gani. Kama miradi ya umeme wa Stiegler's Gorge, na reli ya kisasa SGR inachukua nusu bajeti

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
"Hadi sasa bado najiuliza tuna serikali ya namna gani. Kama miradi ya umeme wa Stiegler's Gorge, na reli ya kisasa SGR ina chukua nusu bajeti ya serikali.

Je miradi mingine kama barabara na maji lini itawafikia wananchi wetu katika majimbo yetu, yani ina niwia ugumu kuitafakari serikali hii."

Charles Kitwanga
Waziri wa zamani na Mbunge wa Misungwi (CCM)

#MwagaPombe2020
 
Mbona miradi ya maji ni mingi tuu inaendelea, Pro Mbarawa alipewa trillions of shillings kufanikisha miradi hiyo.
 
Miradi naona inaendea kama kawaida, nimeona mabomba ya miradi mkubwa wa maji pale Uyui na Nzega, barabara ya Tabora Sikonge hadi Ipole nayo naona ujenzi unaendelea
Anzia Kagongwa,Isaka, pote huko wachina wamelaza mabomba mitaani na matenki tayari wamepandisha ya chuma naambiwa ni ule mradi wa kuyatoa Ziwa Victoria ulioishia Kahama mjini na Shinyanga unaendelea hadi Dodoma
 
Kwani kuna ulazima gani wa kukomaa na stiglaz kwa sasa kwa kuwa sgr ilianza bx wakomae nayo kwenye umeme wasili na miradi ya size ya kati kama ilivyoainishwa kwenye hotuba ya bajeti ya wizara ya nishati kuliko stiglaz ambayo haijulikani gharama yake wala itaisha lini with a lot of complications
 
"Hadi sasa bado najiuliza tuna serikali ya namna gani. Kama miradi ya umeme wa Stiegler's Gorge, na reli ya kisasa SGR ina chukua nusu bajeti ya serikali.

Je miradi mingine kama barabara na maji lini itawafikia wananchi wetu katika majimbo yetu, yani ina niwia ugumu kuitafakari serikali hii."

Charles Kitwanga
Waziri wa zamani na Mbunge wa Misungwi (CCM)

#MwagaPombe2020
Umekosea kumukoti mkuu! Hakuwa na maana hiyo!!
 
Upinzani nawapenda sana kwa kutuletea habari za wa chama tawala. Furahia kwa kuwapa chati.. habari zenu za kihivi hata hawana haja ya kuzisaka ni kuwasubiri mrushe.. mnawasaidia kazi fulani nzuri..
 
Anzia Kagongwa,Isaka, pote huko wachina wamelaza mabomba mitaani na matenki tayari wamepandisha ya chuma naambiwa ni ule mradi wa kuyatoa Ziwa Victoria ulioishia Kahama mjini na Shinyanga unaendelea hadi Dodoma

Ndio huo nimeuzungumzia hapo juu kupeleka na Maji hadi Tabora pia, pia kuna ujenzi unaendelea wa barabara kutoka Mpanda Inyonga Hadi Koga Mkoa wa Katavi kuunganisha na Tabora
 
Yawezekana kaongea akiwa tungi kama kawaida yake maana hata REA tu nao ni
 
Miradi naona inaendea kama kawaida, nimeona mabomba ya miradi mkubwa wa maji pale Uyui na Nzega, barabara ya Tabora Sikonge hadi Ipole nayo naona ujenzi unaendelea
ujenzi unaendelea ila upo slow sana
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ndio huo nimeuzungumzia hapo juu kupeleka na Maji hadi Tabora pia, pia kuna ujenzi unaendelea wa barabara kutoka Mpanda Inyonga Hadi Koga Mkoa wa Katavi kuunganisha na Tabora
Ko wejamaa unataka kutuambia nahitaji ya huduma za maji barabara hospitali shule nk ni sawa na uhitaji wa sgr na stiglaz? Njoo huku Swax utuambie nimejenga stiglaz,sgr na bombadia tukuchague
 
Back
Top Bottom