Uchaguzi 2020 Kituo nilipopiga kura hakuna wakala wa CHADEMA wala ACT-Wazalendo

[FichuaTanzania 2020 elections updates]
!! Kuna malalamiko makubwa sana kuhusu uwepo wa makawala, maeneo mengi hayana mawakala upande wa upinzani
 
Naomben msaada nikitaka kupost jukwaa la siasa nakutana na hii hapo niweke option gan?
IMG_5378.png
 
[FichuaTanzania 2020 elections updates]
!! Usiku wa kuamkia leo watu wasiojulikana walivamia na kumteka mgombea Udiwani wa Chadema kata ya Sinza Evance Luvinga wakampiga na kumjeruhi maeneo mbalimbali ya mwili wake kisha wakamtupa kwenye mtaro.
 
Wakurugenzi sehemu kubwa wameondoa majina ya mawakala wa Chadema jana usiku na kupachika majina wanayoyajua wao, jimbo la Kawe ni mfano mmojawapo.

Hawa wakurugenzi ingetafutwa namna washughulikiwe.
Hiv ni visingizio tu,,ngojeni hii dawa iingie vzri
FB_IMG_1603872691093.jpg
 
Kituo nilichopigia kura hakuna wakala hata mmoja wa CHADEMA wala ACT.

Kweli CHADEMA mmeshindwa kupata wakala wa kulinda kura za Lissu? Nimesikitika sana tena sana.

CHADEMA hawana Mbunge alienguliwa, angalau kura za Lissu zingelindwa. ACT Diwani hana wakala.

Nimekata tamaa kama ndiyo hivi.
Acha propaganda, wewe ni mtu wa CCM unataka kuwakatisha watu tamaa. Hanithi wewe
 
Kituo nilichopigia kura hakuna wakala hata mmoja wa CHADEMA wala ACT.

Kweli CHADEMA mmeshindwa kupata wakala wa kulinda kura za Lissu? Nimesikitika sana tena sana.

CHADEMA hawana Mbunge alienguliwa, angalau kura za Lissu zingelindwa. ACT Diwani hana wakala.

Nimekata tamaa kama ndiyo hivi.
Hiyo ndiyo sifa ya kum-disqualify Lissu kama presidential material; anatokana na organization ambayo iko disorganized! Ata-disorganize tena nchi yetu ambayo sasa hivi iko kwenye njia iliyonyooka!
 
Pale kawe Kuna kituo hata kuanza Zoezi bado halijaanza. Hii nchi ngumu sana.
 
Huku Dovya Makaburi ya City Mawakala wapo lakini Mtendaji hana barua zao, na barua aliyokuwa nayo ni ya Mawakala wa Chadema tuu. Kwa hiyo wanasubiria barua nje
 
Unashabikia wizi..utachomwa moto peupe...ni vzr ashinde kwa haki sio ujanja ujanja
Wizi gani tena kamanda wa ufipa? Mlipoambiwa SIASA NI SAYANSI mlipaswa muelewe ona sasa mihemko yenu na uhalisia haviendani.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Kituo nilichopigia kura hakuna wakala hata mmoja wa CHADEMA wala ACT.

Kweli CHADEMA mmeshindwa kupata wakala wa kulinda kura za Lissu? Nimesikitika sana tena sana.

CHADEMA hawana Mbunge alienguliwa, angalau kura za Lissu zingelindwa. ACT Diwani hana wakala.

Nimekata tamaa kama ndiyo hivi.
Teknolojia imekua ndugu hicho kituo Ni miongon mwa vituo vinavyolindwa kidigital.
 
Wakurugenzi sehemu kubwa wameondoa majina ya mawakala wa Chadema jana usiku na kupachika majina wanayoyajua wao, jimbo la Kawe ni mfano mmojawapo.

Hawa wakurugenzi ingetafutwa namna washughulikiwe.
Lisu akiwaambia kama kituo hakina wakala wenu kura msipige. Ni aibu Lisu anapuuzwa hata na wafuasi wake
 
29 Reactions
Reply
Back
Top Bottom