Giddy Mangi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 830
- 184
Transfoma ya Tanesco inayosupply umeme Tbc Bamaga hapa jijini Dar es Salaam yawaka moto na kusababisha tafrani kubwa.Source mwenyewe eneo la tukio pictures nitatuma pia video.
jamani mambo mengine yande facebook wakuu!
jamani mambo mengine yande facebook wakuu!
Tanesco wanafanya mchezo wa kuigiza ili tuu Dowans walipwe.
Ilikuwa jana hiyo. Au na leo imeungua tena hiyo transforma.
actually nadhani ilikua juzi usiku! na moto ulizimwa na wafanyakazi wa tbc1 kwa fire extinguishers zao. fundi wa tanesco alianguka na kuungua na alioneshwa akiwa icu.. unless kuna tukio lingine
Yeah! au hata hoja mchanganyiko![/Tatizo JF sasahivi inaelekea kupoteza umahiri wake. Kuna thread zingine huwa zinarushwa kwa ajili ya kujuana tu. Au hamjagundua hilo? Hamja-post theads zenye mantiki lakini bado zikawa zinabaniwa? Basi habari ndio hiyo wakuu, tuwe wapole jamaniii....!!]