Kituo cha Startimes Bamaga nusura kiungue moto

Giddy Mangi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
830
184
Transfoma ya Tanesco inayosupply umeme Tbc Bamaga hapa jijini Dar es Salaam yawaka moto na kusababisha tafrani kubwa.Source mwenyewe eneo la tukio pictures nitatuma pia video.
 
Jana TBC kidogo igeuka SODOMA mi nathani tanesco wanatumia transfoma zilizoexpire marekani za msaada,kuna maeneo watu wanishi kwa sala na mambi transfoma zinatoa cheche kila siku, mafundi wakija wanasema mbona ziko fit? woga wenu tu, zikilipuka mtujulishe!
 
actually nadhani ilikua juzi usiku! na moto ulizimwa na wafanyakazi wa tbc1 kwa fire extinguishers zao. fundi wa tanesco alianguka na kuungua na alioneshwa akiwa icu.. unless kuna tukio lingine
Ilikuwa jana hiyo. Au na leo imeungua tena hiyo transforma.
 
kumbe umeme upo knye transifoma ila majumbani haupo! duh bora lilipuke hicho kitbc kiteketee moja kwa moja hakina faida kwa watanzania.
 
actually nadhani ilikua juzi usiku! na moto ulizimwa na wafanyakazi wa tbc1 kwa fire extinguishers zao. fundi wa tanesco alianguka na kuungua na alioneshwa akiwa icu.. unless kuna tukio lingine

Imewaka tena leo kwa mara ya pili
 
ivi kwa nini isiungue tu hii tbc?kila siku inanusulika mpaka kero..sioni faida yake kabisa
 
Yeah! au hata hoja mchanganyiko![/Tatizo JF sasahivi inaelekea kupoteza umahiri wake. Kuna thread zingine huwa zinarushwa kwa ajili ya kujuana tu. Au hamjagundua hilo? Hamja-post theads zenye mantiki lakini bado zikawa zinabaniwa? Basi habari ndio hiyo wakuu, tuwe wapole jamaniii....!!]
 
hapa kariakoo uhuru na sikukuu kuna transfoma inalipuka kila mara na tunashudia miale ya moto mikubwa saana ihatarisha maisha ya wakazi na wafanyabiashara hapo na kuna watu waliwahi kujeruhiwa ukiachilia mbali kuna mti nje ya duka la mhindi ulishika moto na bado tanesco hawafanyi jitihada zozote za kufanyia marekebisho au kubadilisha siku ikileta maafa naomba JF mkumbuke hii thread.
 
Badra jana nilimuona kwenye TV akisema walikuwa wakibadilisha fuse moja ila likalipuka wakati walipokuwa wanafanya marekebisho hayo. Fundi aliyekuwa anafanya kazi hiyo alipata majeraha makubwa ya moto. Sijui kwanini hawakuliziama wakati wa matengenzo au ndio guidelines zao za maintenance zinavyosema? Kuna kaharufu ka uzembe ukiangalia jinsi tanesco wanavyo endesha mambo yao.
 
Back
Top Bottom