Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,784
Hawa wanaopenda kupinga kila kitu, wangekuwa wa kwanza kutuonesha njia mbadala ya kupata umeme!
Nchi iliathirika sana mwaka 2006/2007 kwa upungufu mkubwa wa umeme. Je wanataka turudi huko?
Waaache kutafuta kiki kwenye mambo wasiyoyajua. Tungetegemea kampuni, mashirka na taasisi ambazo ni wadau wa sekta ya umeme walete mapingamizi, ila sio hawa watu waliosomea HKL eti nao wanapinga. Do they really know anything about electricity?
Hii nchi ina viroja vingi