Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) chakiuka Haki za binadamu Dodoma

Baba Matatizo

JF-Expert Member
May 5, 2011
334
64
Habari ya kazi wakuu!Jana tarehe 20/10/2015 LHRC waliita waangalizi wa Uchaguzi zaidi ya 200 kwa lengo la kuwapa mafunzo Juu ya namna gani wataangalia uchaguzi kama WAANGALIZI wa ndani wa Uchaguzi katika Ukumbi wa Chuo cha Saint John Dodoma!

Mafunzo yalikuwa ni ya siku moja yaani tarehe 20 tu!Mafunzo yametawaliwa na ujanja ujanja na Mpaka sasa WAANGALIZI WA UCHAGUZI HAWAJAPEWA HATA SHILINGI NA HAKUNA MAELEZO YA KUTOSHA Na hata pesa ya kulala na kula hawana!WENGI WAO NI KUTOKA MIKOA YA SINGIDA,DODOMA NA TABORA!

KAMA TAASISI YA KUTETEA HAKI ZA BINADAMU KWA HILI LA KUWAWEKA WAANGALIZI BILA POSHO WALA CHAKULA NI KINYUME NA HAKI ZA BINADAMU! Kimsingi Kituo hiki hakifanyi kazi kwa Uaminifu na MABADILIKO ni lazima kwa wakati huu kuelekea Uchaguzi

Nawasilisha
Nawasilisha
 
Hahahahahahha ulitaka posho Mkuu

watu hawa SI WA KUJITOLEA NI WATAALAMU AMBAO WANAHITAJIKA KULIPWA KAMA INAVYOTAKIWA!Huwezi kumwambia mtu aje Dodoma toka Tabora na Humpi hata shilingi na wakati huo huo umewaita kwa Kuwaambia hela ya Malazi na Chakula utawalipia!Leo toka Asubuhi hakuna linaloendelea na waangalizi wapo hoi kwa njaa katika viwanja vya chuo!!wangesema watu wajitegemee wasingelalamika hata kidogo!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom