lovely love
JF-Expert Member
- Dec 11, 2013
- 337
- 296
Dah nmesikitika sana Leo asubuhi nmeenda pale kuripoti tatizo nlokumbana nalo ili nipate msaada, nikakuta watu wamesimama nje kituo kimefungwa.
Kuna mdada nmemkuta pale kanambia mkuu kapigiwa simu kasema Leo hapafunguliwi mpaka kesho hivyo watu waende Wazo hill . Nlikua nadhani vituo vya polisi ni saa 24 kumbe huwa vinafungwa.