kituo cha polisi kukosa eneo la maegesho ya magari yanayo kamatwa alaumie nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kituo cha polisi kukosa eneo la maegesho ya magari yanayo kamatwa alaumie nani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zamlock, Jan 3, 2011.

 1. z

  zamlock JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  majuzi ilitokea ajali tegeta ambako fiati linalobeba cement kufeli brak na kuvamia makazi ya wafanya biashara nakusababisha ajali iliyogonga gari la mfanyabiashara huyo na ikawa kinga ya lile roli kutofikia duka lililokuwa mbele ya hiyo gari na juu ya hayo yote ni askari wa usalama barabarani kulazimisha jlo gari kwenda kituo cha polisi kidogo cha tegeta ambapo upitaji wake kwa magari makubwa hayo ni taabu na sehemu ya maegesho akuna kwa magari makubwa ndipo ikawa mshike mshike hilo gari kusababisha ajali na kutokea hasara za namna hiyo
   
Loading...