Kituo cha polisi chagharimu zaidi ya Sh milioni 160 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kituo cha polisi chagharimu zaidi ya Sh milioni 160

Discussion in 'Jamii Photos' started by EMT, May 26, 2011.

 1. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Hiki ni kituo kipya cha polisi ambacho kimegharimu kiasi cha fedha kisichopungua Sh milioni 160. Hiki kituo kimejegwa mkoani Mara wilaya ya Serengeti.

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Kuna na "GUEST HOUSE" humo ndani?
   
 3. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  sina uhakika. Labda kuna ghorofa kwa kwenda chini.
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hahahaha Milioni 160, Kitakuwa na AC,Tiles pia na funiture kutoka Living Room,
   
 5. k

  kamimbi Senior Member

  #5
  May 26, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huo ni ufisadi, jengo lenyewe limejengwa kisanii sanii tu, kama vipi tuandamane kama misri au libya, hata kama tutauwawa poa tu mbona watu wanakufa kila kukicha kwa sababu za ubadhilifu wa masisadi?
   
 6. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Bila kusahau Windows 7 Kiswahili ndani.
   
 7. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,339
  Trophy Points: 280

  Kweli mkuu inawezekana kuna ghorofa 2 kwenda chini.
   
 8. S

  Sobangeja Senior Member

  #8
  May 26, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Je kina serospecial kwa ajili ya wabunge wanaokosoa serikali? Mbona hakina umeme? huyo anayesoma gazeti la uhuru ni OCD au mtuhumiwa?
   
 9. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Labda ni mlinzi wa kituo.
   
 10. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #10
  May 26, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Kama ya Benghazi Libya. Kitu kinajengwa kuelekea chini. Labba ndio style yenyewe.
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  May 26, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  wonders will never cease!kina liars detector na dna machine!
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  May 26, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  na hivyo viti vya grocery ni kwa ajili ya walinzi, wahalifu ama wapendwa wa wahalifu?
   
 13. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #13
  May 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Naona hata uvivu....
   
 14. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #14
  May 26, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Wakati mtu wako yuko ndani akifunguliwa faili wewe ndio unakaa hapo ukimsubiri.
   
 15. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #15
  May 26, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Uvivu wa?
   
 16. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #16
  May 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  In other words ni kua i wish nisingepata hio taarifa though nime i-appreciate...
  Hasira nilizo nazo juu ya matendo ya mis management na serkali ni mengi
  na makubwa; yet added another depressing information... Thus the uvivu...

  Uvivu juu yao kwa analysis, comment, kutafakari na kuchukua hatua...
   
 17. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #17
  May 26, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Inakera kwa kweli. Hata useme uchukue hatua sijui utaanzia wapi. CAG ameraise hii issue kwenye ripoti yake, but no body cares. We better go fishing.
   
 18. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #18
  May 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Nafikiri umenipata niliposema naona uvivu... and because it seems we are in the same boat fishing is an excellent idea... than the above upuuzi!
   
 19. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #19
  May 26, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Naona umekasirika mpaka umeenda kinyume na signature yako. tuliza hasira kwanza otherwise hatutapata samaki hata mmoja.
   
 20. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #20
  May 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  EMT thank you for reminding me... Heat of the moment... ndo maana nikakubali kwenda fishing... a relaxing, carefree activity.

  Asha D thanks you for the useful post....lol
   
Loading...