Kituo cha Mafuta cha TOTAL Mlimani City na unyanyasaji/udhalilishaji kwa wananchi

Kuna watu akili zenu ni nyaaa mjue, Kama mazingira ya ile Shell huyajui heri ukae kimia?? Watembea kwa Miguu hawana pa kupita wewe unaleta upimbi wako, Waaache Waliopo Dsm wachangie wewe Uliyepo NAMABENGO au NANJILINJI kaaa kimia.
Kituo kile kinatakiwa kuondolewa kabisa pale kilipo kinazuia wapita kwa mguu wakati kituo vyenyewe Kiko barabara I.
 
Mbona una hasira kwanza wako njiani wao waondoke hapo wapishe barabara Mana kituo Kiko kwenye service road.
Mh, dada yake na Mengi!!!!
Mimi na wewe hatujui hayo ila hata wakati akina Prof Kabudi wapo ma TA kilikuwepo hicho kituo. Kama wahusika watapenda kihamishwe, kitahama. Oh kumbe na wewe ni mdau wa kufanya jogging watoto wa Sinza!!!! Nsamehe bure
 
Mkuu ni kwamba unata kupita katikati ya sheli kama njia? Huoni wewe ni mchokozi? Au sijakuelewa vizuri?
Nenda hapo Kama tu unahitaji huduma iliyopo hapo
Kituo kimekula eneo la service road, na kublock wanaotumia barabara kwa miguu sasa hapo kosa ni la kwao kwanini ujenge kituo kwenye service road, na hyo service road wameblock vipi Raia wanaoenda mwenge lufungila na kwingine watumie njia ipi. Wengi mnalaumu mleta nada bila kujua kosa ni la kituo ku block njia ya kutokea hyo service road.
 
Unachoongea ni sahihi, lakini jiulize hiyo sheli inakosa gani? Yenyewe imepewa eneo la biashara na inalipa Kodi, mi nadhani ungefuatwa utaratibu mwingine ili barabara ipatikane. Mwenye sheli anayo haki na eneo lake la biashara.
Labda wahusika wataona huu uzi watashughulikia barabara ipatikane.
Kumlaumu mwenye sheli sio sahihi
Na wakishughulikia hyo Hali ni lazima hcho kituo kiondolewe hapo Mana Kiko njiani kabisa, siku zote tumepita hapo why now wa block, maana uwepo wa hicho kituo kisingewepo iwepo njia rahisi ya kuingilia mlimani city na watu wenye magari yanayoenda chuo kikuu, na makongo.
 
Mshana wewe kwenye kiwanja chako ulipojenga nyumba utaruhusu kila mtu akatize? Kwenye eneo lako la biashara utaruhusu watu wafanye njia? Hilo ni eneo la kazi na biashara za watu kugeuza njia si Sawa na si salama.

Kuhusu wao kujenga kwenye service road tuwaachie manispaa kwani hatujui makubaliano Yao mpaka waneruhusiwa kujenga.

Trespassing is illegal.
Hilo ni eneo la chuo kikuu na sio manispaa why I block service road na uzuie watu kupita, wakati twataka win win situation in life
 
Basikeli ya nini sheli au ww mtembea kwa miguu sheli unaenda kujazwa nn??

Petrol station lazima ziheshimike bada sio kila mtu apite sheli tu ni dharau kwa wenye magari🙄🙄🙄🙄
 
Mh, dada yake na Mengi!!!!
Mimi na wewe hatujui hayo ila hata wakati akina Prof Kabudi wapo ma TA kilikuwepo hicho kituo. Kama wahusika watapenda kihamishwe, kitahama. Oh kumbe na wewe ni mdau wa kufanya jogging watoto wa Sinza!!!! Nsamehe bure
Kituo Kiko njiani jamani service road Mimi nikitokea mitaa ya chini natembea kwa miguu kwenda lufungila nipitie wapi ka Wana block njia au nafanya mazoezi, maana hyo ni njia ya mda mrefu Hadi sasa kazeeka why wa block sasa hivi na hawajatoa option na wao wako service road, maana Kuna kipindi tumefanyia mazoezi hapo. Waache ujinga wa kutunyanyasa kwenye nchi yetu kisa Cha kwenda kwa mama kamche nizunguke Hadi kwa kakobe ni nini?
 
Hilo ni eneo la chuo kikuu na sio manispaa why I block service road na uzuie watu kupita, wakati twataka win win situation in life
Chuo kikuu waliwapa bure? Aidha wamekodi au wameuziwa kwa wakati ambao wameuziwa ni eneo lao wanamamlaka ya kuzuia nani apite nani asipite.
Hata kiwanja ulichonacho ni mali ya serikali umekodisha tu ila una mamlaka nacho kuzuia trespassers.
 
Kituo Kiko njiani jamani service road Mimi nikitokea mitaa ya chini natembea kwa miguu kwenda lufungila nipitie wapi ka Wana block njia au nafanya mazoezi, maana hyo ni njia ya mda mrefu Hadi sasa kazeeka why wa block sasa hivi na hawajatoa option na wao wako service road, maana Kuna kipindi tumefanyia mazoezi hapo. Waache ujinga wa kutunyanyasa kwenye nchi yetu kisa Cha kwenda kwa mama kamche nizunguke Hadi kwa kakobe ni nini?
Basi yaishe. Nitakibomoa kwa ajili yako wasipotoa nafasi. Heri ya mwaka mpya
 
Tuna utumwa uliojaa discrimination ndani yake hafu walivo washamba hawajui wenye magari ndio wanaweza kuwa hatari kuliko Raia wa kawaida
Kwenye nchi za watu walioelimika na wanaojua haki zao mwekezaji hawezi kufanya huo upumbavu,raia wanamtia hasara ndani ya nusu saa tu.
Huku Bongo watu wamezubaa sana,ishu kama hiyo kwa nchi za wenzetu inashughulikiwa na raia wanne tu bila ya kushitaki mahali popote.
 
Kituo Kiko njiani jamani service road Mimi nikitokea mitaa ya chini natembea kwa miguu kwenda lufungila nipitie wapi ka Wana block njia au nafanya mazoezi, maana hyo ni njia ya mda mrefu Hadi sasa kazeeka why wa block sasa hivi na hawajatoa option na wao wako service road, maana Kuna kipindi tumefanyia mazoezi hapo. Waache ujinga wa kutunyanyasa kwenye nchi yetu kisa Cha kwenda kwa mama kamche nizunguke Hadi kwa kakobe ni nini?
Kama kiko njiani inabidi tanroad wafanye kazi yao....wabomoe walipoingilia hifadhi ya barabara.
 
Chuo kikuu waliwapa bure? Aidha wamekodi au wameuziwa kwa wakati ambao wameuziwa ni eneo lao wanamamlaka ya kuzuia nani apite nani asipite.
Hata kiwanja ulichonacho ni mali ya serikali umekodisha tu ila una mamlaka nacho kuzuia trespassers.
Tofautisha kiwanja chako kilichopimwa na mtu ku block service road, Hilo ni kosa hyo ya kodi hata mimi natoa kodi na haimaanishi niingilie mifumo mingine na kuzuia wapita miguu. Wao sehemu ya service road wamejemga ukoka wao jambo ambalo ni kosa na mamlaka kufumbia macho, pia Kuna kituo kituo kimefunguliwa maeneo ya mwenge alipokuwa mwaposa mbona wao hajafunga kuzuia Raia. Sasa ukizuia raia kisa kodi ni nani asiyetoa kodi nchi hii aisee. Ujenge service road hafu uzuie wapite kwa miguu sijawahi ona hii. Na Hilo eneo Lina supermarket na atm banks zaidi ya mbili, wengi wabisha vile hawajui nature ya hilo eneo
 
Kama wameblock service road, tanroad inabidi wachukue hatua, naamini kilio hiki kitasikika.
 
Back
Top Bottom