Kituo cha mafuta cha Oil Com Buguruni Malapa hakitoi risiti. TRA mnalifahamu hili?

Mpinzire

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Messages
1,963
Points
2,000

Mpinzire

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2013
1,963 2,000
Asalaam Alyekum,
Tumsifu Yesu Kristo wanajamvi,

Leo nimeona bora nawajulishe wanajamvi pia TRA kupitia hizi kurasa zetu pendwa za JamiiForums ya kwamba kituo cha mafuta cha Lake oil kilichopo Buguruni Malapa jiji Dar-es-Salaam hawatoi risiti pindi unapoenda kununua mafuta, kisingizio chao kikubwa ni kuwa machine zimeharibika.

Sasa taarifa kwenu TRA, wamulikeni hawa Lake Oil maana miezi miwili nyuma nililiona hili nikaona sio kesi ila wiki jana nikapewa tena taarifa hiyo hiyo kuwa machine za risiti ni mbovu.

TRA, ni kweli mnakaa miezi miwili bila kwenda kutengeneza zile machine za risiti?

Usiku mwema wapendwa.
 
Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
24,235
Points
2,000

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
24,235 2,000
Mkuu, bilashaka ulienda na gari na ndio ukakutana na dhahma hiyo.
Basi naomba nimupongeze tu kwamiliki chuma huko Daslam, hayo ya riaiti minaona ni umbeya tu chunga usije ukasutwa....
 
drilling

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Messages
1,808
Points
2,000

drilling

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2016
1,808 2,000
Asalaam Alyekum,
Tumsifu Yesu Kristo wanajamvi,

Leo nimeona bora nawajulishe wanajamvi pia TRA kupitia hizi kurasa zetu pendwa za JamiiForums ya kwamba kituo cha mafuta cha Oil Com kilichopo Buguruni Malapa jiji Dar-es-Salaam hawatoi risiti pindi unapoenda kununua mafuta, kisingizio chao kikubwa ni kuwa machine zimeharibika.

Sasa taarifa kwenu TRA, wamulikeni hawa Oil Com maana miezi miwili nyuma nililiona hili nikaona sio kesi ila wiki jana nikapewa tena taarifa hiyo hiyo kuwa machine za risiti ni mbovu.

TRA, ni kweli mnakaa miezi miwili bila kwenda kutengeneza zile machine za risiti?

Usiku mwema wapendwa.
Mbona mimi jana nimeweka mafuta full tank hapohapo kituo cha oil com buguruni na nimepewa risiti na sio mara moja kila mara naweka hapo maana mimi naishi karibu hapo risiti wanatoa sana tu labda wewe una.
 
Zabron Hamis

Verified Member
Joined
Dec 19, 2016
Messages
1,416
Points
2,000

Zabron Hamis

Verified Member
Joined Dec 19, 2016
1,416 2,000
Asalaam Alyekum,
Tumsifu Yesu Kristo wanajamvi,

Leo nimeona bora nawajulishe wanajamvi pia TRA kupitia hizi kurasa zetu pendwa za JamiiForums ya kwamba kituo cha mafuta cha Oil Com kilichopo Buguruni Malapa jiji Dar-es-Salaam hawatoi risiti pindi unapoenda kununua mafuta, kisingizio chao kikubwa ni kuwa machine zimeharibika.

Sasa taarifa kwenu TRA, wamulikeni hawa Oil Com maana miezi miwili nyuma nililiona hili nikaona sio kesi ila wiki jana nikapewa tena taarifa hiyo hiyo kuwa machine za risiti ni mbovu.

TRA, ni kweli mnakaa miezi miwili bila kwenda kutengeneza zile machine za risiti?

Usiku mwema wapendwa.
Nimecheka sana baada ya kusoma salamu uliyoitumia, nikakumbuka ule uzi wa Wanadini na roho mbaya!!! Sijui hata kwann nimeread between the lines
 
sacred wall

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2017
Messages
368
Points
1,000

sacred wall

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2017
368 1,000
Asalaam Alyekum,
Tumsifu Yesu Kristo wanajamvi,

Leo nimeona bora nawajulishe wanajamvi pia TRA kupitia hizi kurasa zetu pendwa za JamiiForums ya kwamba kituo cha mafuta cha Oil Com kilichopo Buguruni Malapa jiji Dar-es-Salaam hawatoi risiti pindi unapoenda kununua mafuta, kisingizio chao kikubwa ni kuwa machine zimeharibika.

Sasa taarifa kwenu TRA, wamulikeni hawa Oil Com maana miezi miwili nyuma nililiona hili nikaona sio kesi ila wiki jana nikapewa tena taarifa hiyo hiyo kuwa machine za risiti ni mbovu.

TRA, ni kweli mnakaa miezi miwili bila kwenda kutengeneza zile machine za risiti?

Usiku mwema wapendwa.
Una kichaa, wakitoa risiti ndio maisha ya nyumbani kwako yanabadilika. Wahaya mbona mnazidi kuwa hovyo! Ua wewe ni ndugu na bashiru!
 
Lyamber

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Messages
9,575
Points
2,000

Lyamber

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2012
9,575 2,000
Kituo kilichopo Buguruni Malapa kinaitwa Lake Oil..hivi mtu na akili zako timamu unaenda vipi kujaza mafuta kwenye kituo kinachouza mafuta bei ya chini? Yani ukijaza hapo 25 litres utatembea kilomita chache sana tofsuti na ukijaza 25 Litres kwenye vituo vingine
 
Forum statistics

Threads 1,379,698
Members 525,516
Posts 33,753,586
Top