NgomaNzito
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 559
- 26
Ndugu zetu wa Fire wanachapa kazi kuzima kituo cha mafuta kilichopo kwenye Round about ya nyerere Rd na Pamba road kinachoendelea kuungua baada Lori la mafuta kunza kuungua likiwa linapakua mafuta muda huu.
Hawa ndugu zetu wa fire wanatumia maji kuzima mafuta(Petrol na Diesel) wataweza au watumie Foams??
Hawa ndugu zetu wa fire wanatumia maji kuzima mafuta(Petrol na Diesel) wataweza au watumie Foams??