Kituo cha kupooza Umeme Tanesco Msamvu mkoani Morogoro kinaungua moto

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Wakuu Taarifa Zilizopo ni Kwamba Kituo Cha Kupoza Umeme Morogoro Msamvu kinaungua Moto Muda Huu.
.
Chanzo Cha Moto Huo Hakijajulikana Mpaka Sasa.
.
Note Hii Kauli Mabaya za Awamu ya 5 sikuwa sehemu yake Ila Mazuri ya Awamu ya 5 nilikuwa sehemu yake.
---

Moja ya Transfoma kubwa katika kituo cha kupooza na kusambaza umeme cha Msamvu Manispaa ya Morogoro kimewaka moto, chanzo cha hitilafu hiyo bado hakijafahamika na kusababisha mji mzima wa Morogoro kukosekana umeme.

1.png
2.jpg
 
awamu ya mafisadi hii, mwisho wa siku utaambiwa zinahitajika bil 665.94 ili ku-repair kituo kwa uharibifu uliotokea………..
 
Back
Top Bottom