Elections 2010 kituo cha kupigia kura hakina taa

pirate

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
703
664
wakati napita pita mitaani mida ya saa 1:30 kuangalia matokeo ya kura iringa,katika kila lituo iringa kilikuwa na taa..,except kimoja ambacho kipo located karibu na ofc ya RC iringa

ilikuwa hivi/...,
nmefika pale kituoni uku nikiwa na furaha ushindi unaoendelea wa chadema.,nikiwa na wenzangu wanne, tukafika pale kituoni ambapo pia tulitaka kujua CHADEMA inaendeleaje japo tulikuwa tunauhakika mambo yatakuwa mazuri,tulipofika tu tukaona kama watu wanazuiliwa vile.nikaamua niende kuangalia kuna nini?,..ndipo nlipofka pale nikasikia yule msimamz wa pale anasema kuwa matokeo bado.. na bado kura wanaendelea kuesabia.., sasa kilichonishangaza ni kitu kimoja..,sawa hatujakataa kuwa amuesabu kura lakini je mbona uko ndan giza na hakuna hata dalili ya mwanga zaid yake kulikuwa na kitochi chekundu mara nyingi uwa wanapenda kuchezea watoto.., na pia bado wanakwambia kuwa bado sana kumaliza kuhesabia kura hizo..., na katika tetes flani hivi zlikuwa hivi hicho kituo ni kituo ambacho watu waliopiga kura ni wachache sana kuliko vituo vyote vya hapa iringa.., haya hapo unazani ni zaid ya kuchakachua matokeo tu...,

bt nmefurahi sana kuyapokea matokeo ya chadema and all the wayyyyy for slaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kwa safari yake ya kwenda ikulu:israel:
 
Thanx mkuu, by the way tumeshaichukua halmashauri, hakuna matata
 
tatizo co wamekata umeme,..hapana tatizo hakina hata umeme
 
Back
Top Bottom