Naomba kufahamishwa maeneo yenye vituo cha kulea watoto yatima

Lindembwee

Senior Member
Aug 15, 2018
144
94
Habari wana jf. Samahani kwa mtu yeyote anafehama, ningeomba anifahamishe kituo kimoja wapo cha kulea watoto yatima maeneo ya BAGAMOYO, au Pwani, ambacho kipo katika hali mbaya zaidi, chenye uhitaji mkubwa, ukiacha hivi ambavyo vipo popular na vinauwezo kiasi.

Lengo, ni kwenda kutoa angalau chochote kwa ndugu zetu hawa wenye uhitaji.. Tupo kama kikundi tume ji organize kwa lengo Hilo, kulitimiza siku ya 25 desember.

Karibuni.
 
Tukipata hata hospitali moja sio mbaya.. Ila yenye uhitaji kweli kweli.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom