Haters hawatakosekana, kama alivyosema, utapita kwenye maji, watasema umewatimulia vumbi.... hata His Excellence Donald Trump ana estates zake ambazo mara kadhaa amekuwa "akiwaita" marais wa nchi za kigeni kukutana naye huko. Unakumbuka aliwahi kumwita Rais wa China Mar-a-Lago, Palm Beach, Florida? Rejea: https://www.trump.com/. Kwanini tusiige mazuri ya wenzetu? Au roho mbaya?
Hahahahhahah!!!Anaenda kumshangaa yule faru rajabu anaepiga miti twiga
Tuletee unayoyajua wewe mkubwa ambayo ni ya kijanja.
Kwani makamu mwenyekiti wa Chadema ofisi zake ziko Kenya au Ufipa?!Maana jamaa akikaa Dodoma wiki anaenda Chato anakaa mwezi anakuja Dar kuapisha mabalozi anakaa wiki 3
Hivi pesa za walipa kodi kiasi gani zinapotea kwa huu uzembe wa kuishi ikulu tata kwa wakati mmoja?
Watanzania waambiwe ukweli kama pia Ikulu ya dodoma haikaliki maana huu ni kama utapeli na usanii.
Watanzani sio wajinga kivile imagine toka mwaka jana jamaa hajakaa kabisa Dodoma
Uzuri unajua fika mlichokifanya. Ila Karma ina anuani ya kila mtu.Kwani makamu mwenyekiti wa Chadema ofisi zake ziko Kenya au Ufipa?!
Mambo mengine ni utaratibu wa kawaida tu!
Gharama zote zinazotumika Dodoma ni zanini? Je kulikuwa na ulazima kwa sasa? Wakati Taifa linamahitaji mengi yanasuasua kutokana na ukosefu wa pesa. Ukijiuliza hilo swali kwa umakini utaliombea Taifa badala kuandaa Matusi.
Wajinga wakiwa wengi kumchagua rais waoMaana jamaa akikaa Dodoma wiki anaenda Chato anakaa mwezi anakuja Dar kuapisha mabalozi anakaa wiki 3
Hivi pesa za walipa kodi kiasi gani zinapotea kwa huu uzembe wa kuishi ikulu tatu kwa wakati mmoja?
Watanzania waambiwe ukweli kama pia Ikulu ya dodoma haikaliki maana huu ni kama utapeli na usanii.
Imagine toka mwaka jana jamaa hajakaa kabisa Dodoma
Labda Ikulu hazikaliki kama kweli umehamia dodoma kwanini usiwaite watu kuwaapisha kule?
Pamoja na hayo yote uliyo andika kuhusu ubaya wa Dodoma bado kuna Watu wanauwana wachaguliwe tena kwenda pale Bungeni! Na bado sijawahi kusikia kila jioni wanapo ahirisha Bunge wanarudi kulala Majimboni au kwenye Mikoa yao!Mimi nishaacha kuwaza. Nahisi Dodoma kuna kitu amegundua aliingia chaka. Sasa ili tuone kama yuko Dodoma anaipotezea na Chato. Ila kiuhalisia Dar hapakwepeki. Hata Heche alisema bungeni kuwa walikurupuka. Hata wataalamu wa afya wanajua kuwa Dodoma ni katikati ila walishauri ni mkondo mbaya sana wa majanga asili. Ushahidi ni lele vumbi la Dodoma la mwezi wa tisa.
Kote kote hata akiamua Moshi anaweza kaa almradi pawe na Ikulu weka akilini ni raiya No moja anao uhuru wa kukaaa popote kwa mujibu wa sheriaMaana jamaa akikaa Dodoma wiki anaenda Chato anakaa mwezi anakuja Dar kuapisha mabalozi anakaa wiki 3
Hivi pesa za walipa kodi kiasi gani zinapotea kwa huu uzembe wa kuishi ikulu tatu kwa wakati mmoja?
Watanzania waambiwe ukweli kama pia Ikulu ya dodoma haikaliki maana huu ni kama utapeli na usanii.
Imagine toka mwaka jana jamaa hajakaa kabisa Dodoma
Labda Ikulu hazikaliki kama kweli umehamia dodoma kwanini usiwaite watu kuwaapisha kule?