Kituo cha kazi cha Rais Magufuli ni Chato, Magogoni au Dodoma?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Messages
8,680
Points
2,000

technically

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2016
8,680 2,000
Maana akikaa Dodoma wiki anaenda Chato anakaa mwezi anakuja Dar kuapisha mabalozi anakaa wiki 3.

Hivi pesa za walipa kodi kiasi gani zinapotea kwa huu uzembe wa kuishi ikulu tatu kwa wakati mmoja?

Watanzania waambiwe ukweli kama pia Ikulu ya Dodoma haikaliki maana huu ni kama utapeli na usanii.

Imagine toka mwaka jana Mheshimiwa hajakaa kabisa Dodoma,

Labda Ikulu hazikaliki kama kweli umehamia Dodoma kwanini usiwaite watu kuwaapisha kule?
 
Mromboo

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
1,749
Points
2,000

Mromboo

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
1,749 2,000
Mimi nishaacha kuwaza. Nahisi Dodoma kuna kitu amegundua aliingia chaka. Sasa ili tuone kama yuko Dodoma anaipotezea na Chato. Ila kiuhalisia Dar hapakwepeki. Hata Heche alisema bungeni kuwa walikurupuka. Hata wataalamu wa afya wanajua kuwa Dodoma ni katikati ila walishauri ni mkondo mbaya sana wa majanga asili. Ushahidi ni lele vumbi la Dodoma la mwezi wa tisa.
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
26,318
Points
2,000

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
26,318 2,000
Maana jamaa akikaa Dodoma wiki anaenda Chato anakaa mwezi anakuja Dar kuapisha mabalozi anakaa wiki 3

Hivi pesa za walipa kodi kiasi gani zinapotea kwa huu uzembe wa kuishi ikulu tata kwa wakati mmoja?

Watanzania waambiwe ukweli kama pia Ikulu ya dodoma haikaliki maana huu ni kama utapeli na usanii.

Watanzani sio wajinga kivile imagine toka mwaka jana jamaa hajakaa kabisa Dodoma
Kwani makamu mwenyekiti wa Chadema ofisi zake ziko Kenya au Ufipa?!

Mambo mengine ni utaratibu wa kawaida tu!
 
VAPS

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Messages
3,343
Points
2,000

VAPS

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2012
3,343 2,000
Dom kuna upepo wa dhiki. Kwa maendeleo sayansi na tekinolojia e government, amani na utulivu hoja za Dodoma makao makuu kwa zama hizi hazikuwa na mashiko. Uwekezaji Dom ungewekezwa ktk miundombinu umwagiliaji kilimo na kilimo tungelisha Africa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kizaizai

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Messages
3,483
Points
2,000

kizaizai

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2010
3,483 2,000
Kuna mda mnalazimisha tuwatukane tu hata kama hatutaki

Sent using Jamii Forums mobile app
Gharama zote zinazotumika Dodoma ni zanini? Je kulikuwa na ulazima kwa sasa? Wakati Taifa linamahitaji mengi yanasuasua kutokana na ukosefu wa pesa. Ukijiuliza hilo swali kwa umakini utaliombea Taifa badala kuandaa Matusi.
 
Gulwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2008
Messages
4,788
Points
2,000

Gulwa

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2008
4,788 2,000
Maana jamaa akikaa Dodoma wiki anaenda Chato anakaa mwezi anakuja Dar kuapisha mabalozi anakaa wiki 3

Hivi pesa za walipa kodi kiasi gani zinapotea kwa huu uzembe wa kuishi ikulu tatu kwa wakati mmoja?

Watanzania waambiwe ukweli kama pia Ikulu ya dodoma haikaliki maana huu ni kama utapeli na usanii.
Imagine toka mwaka jana jamaa hajakaa kabisa Dodoma

Labda Ikulu hazikaliki kama kweli umehamia dodoma kwanini usiwaite watu kuwaapisha kule?
Wajinga wakiwa wengi kumchagua rais wao
 
Mackanackyyy

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2019
Messages
1,016
Points
2,000

Mackanackyyy

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2019
1,016 2,000
technically,
Msukusi kaingia mjini baba, hadi ushamba umwishe Tanzania si taifa moja tena...

Alivyo na hofu na hicho kiti na uhakika ataanzisha nchi yake Kanda ya Ziwa Makao Makuu yakiwa Chato, si bure miradi yote mikubwa ya serikali kuelekezwa Chato!
 
Dusabimana

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2019
Messages
211
Points
250

Dusabimana

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2019
211 250
Mimi nishaacha kuwaza. Nahisi Dodoma kuna kitu amegundua aliingia chaka. Sasa ili tuone kama yuko Dodoma anaipotezea na Chato. Ila kiuhalisia Dar hapakwepeki. Hata Heche alisema bungeni kuwa walikurupuka. Hata wataalamu wa afya wanajua kuwa Dodoma ni katikati ila walishauri ni mkondo mbaya sana wa majanga asili. Ushahidi ni lele vumbi la Dodoma la mwezi wa tisa.
Pamoja na hayo yote uliyo andika kuhusu ubaya wa Dodoma bado kuna Watu wanauwana wachaguliwe tena kwenda pale Bungeni! Na bado sijawahi kusikia kila jioni wanapo ahirisha Bunge wanarudi kulala Majimboni au kwenye Mikoa yao!
 
Kiwarhoapandenga

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2019
Messages
970
Points
1,000

Kiwarhoapandenga

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2019
970 1,000
Maana jamaa akikaa Dodoma wiki anaenda Chato anakaa mwezi anakuja Dar kuapisha mabalozi anakaa wiki 3

Hivi pesa za walipa kodi kiasi gani zinapotea kwa huu uzembe wa kuishi ikulu tatu kwa wakati mmoja?

Watanzania waambiwe ukweli kama pia Ikulu ya dodoma haikaliki maana huu ni kama utapeli na usanii.
Imagine toka mwaka jana jamaa hajakaa kabisa Dodoma

Labda Ikulu hazikaliki kama kweli umehamia dodoma kwanini usiwaite watu kuwaapisha kule?
Kote kote hata akiamua Moshi anaweza kaa almradi pawe na Ikulu weka akilini ni raiya No moja anao uhuru wa kukaaa popote kwa mujibu wa sheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,390,461
Members 528,182
Posts 34,051,646
Top