Kituo cha kariakoo Msimbazi, kumejaa wananchi hakuna basi inayosimama

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,144
Kituoo cha kariakooo msimbazi kumejaa wananchii hakuna basis inayosimama na hats ikipita unaona baada ya nusu saaa


Wah wa DART kuna mgomO??ama mmepunguza mabasi manager toka ofisini njoo kituoni krkoo

Wamamawajawazito wanajazana chini
 
Nimezisikia habari hizi japo kwa juujuu,ngoja tusubiri waliozipata zote
 
Umekua utamaduni wao, kila nyakati za mchana (saa 6 -9) mabasi yanapita yakiwa wazi hasa vituo vya msimbazi A na B kariakoo.
Wahusika waje kwa ufafanuzi
 
Kwanini Usingeuliza DART kuna Tatizo gani?

We Umekimbilia "" Mgomo'''
 
muulizeni Bashite na baba yake wamepeleka wapi fedha za uendeshaji wa mradi kila kitu wanafeli jamani nchi imeeingiliwa na watu wa ajabu sana
 
Back
Top Bottom