Kitunguu kimekua msaada mkubwa katika kupambana na matatizo ya kifua na njia ya hewa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
Kizuri kula na wenzio. Wakati COVID inaanza kuenea nchi ya Iran ilipata matatizo sana. Kuna mama mmoja alisambaza video jinsi alivyotumia kitunguu kukabiliana na COVID Pamoja na matatizo ya kifua kwa u jumla.

Tumia kitunguu muda wowote ule, kama unakohoa sana weka vipande vya vitunguu ndani ya socks ulale navyo miguuni. Tafuna vibichi au kachumbari.

Tangu nione hii video, ninanunua kilo mbili -tatu za vitunguu kwa wiki. Ninaweka hata 5 kwenye kila mboga. Wazungu pia wana soup ya vitunguu kumbe ni old remedy kwa wagonjwa.

Jaribu hii ni njia isiyo na gharama kubwa. Kumbuka kunawa mikono kila mara na kuvaa barakoa.
 
Kizuri kula na wenzio. Wakati COVID inaanza kuenea nchi ya Iran ilipata matatizo sana. Kuna mama mmoja alisambaza video jinsi alivyotumia kitunguu kukabiliana na COVID Pamoja na matatizo ya kifua kwa u jumla....
Mkuu, kitunguu maji au kitunguu saumu?
 
Wazungu pia wana soup ya vitunguu kumbe ni old remedy kwa wagonjwa.

Tom Ka Kai waThai wanaita..​

Thai Chicken Soup With Coconut Milk (Tom Ka Gai)​

Ingredients​

  • 1 stalk lemongrass (or 3 tablespoons frozen prepared lemongrass)
  • 6 cups chicken stock
  • 1 to 2 chicken breasts (sliced, or 1 to 2 cups roasted chicken or turkey)
  • 1 cup shiitake mushrooms (sliced)
  • 4 makrut lime leaves (fresh or frozen)
  • 1 to 3 red chilies (fresh and minced to taste, or 1/2 to 3/4 teaspoon dried crushed chili peppers)
  • 1 piece galangal (or ginger, thumb-sized and grated)
  • 1/2 to 1 (13 1/2-ounce) can coconut milk (good-quality)
  • 2 tablespoons fish sauce (or more to taste)
  • Optional: sliced bell pepper (or cherry tomatoes)
  • 2 tablespoons lime juice
  • Optional: 1 teaspoon brown sugar (to taste)
  • Handful coriander leaves (fresh)
  • Handful basil leaves (fresh)
  • 3 spring onions (sliced)
  • Optional: wheat noodles (or rice noodles, if serving as the main course)
 
Kama ivo
JamiiForums-1349905033.jpg
 
Back
Top Bottom