Kitunguu:CCM yafilisika fedha, yapigwa "bailout" na serikali ya Hispania mabilioni

Kiranga

Platinum Member
Jan 29, 2009
71,272
105,471
CCM yafilisika fedha, yapigwa "bailout" na serikali ya Hispania mabilioni ya dola.

"Wall Street Journal" la leo limeripoti.
 
CCM yafilisika fedha, yapigwa "bailout" na serikali ya Hispania mabilioni ya dola.

"Wall Street Journal" la leo limeripoti.
 
CCM hiyo si Chama cha mapinduzi!

Ni benki ya akiba ya Uhispania: Caja de Ahorros Castilla La Mancha!
 
CCM yafilisika fedha, yapigwa "bailout" na serikali ya Hispania mabilioni ya dola.

"Wall Street Journal" la leo limeripoti.

Inawezekana hii ama ni mambo ya 1st April?. CCM haiwezi kuchacha hata siku moja.
 
Mbona hung'aka wapinzani wakipata misaada kutoka nje. Mnakumbuka serikali ya CCM ilivyo-react pale taasisi moja ya demokrasia ya Uholanzi ilivyodhamiria kuvisadia vyama vya upinzani hapa nchini miaka kadha iliyopita?
 
We jamaaa wewe! Mie niledhani ni kile Chama Cha Mafisadi kumbe ni benki! Loh!
 
Back
Top Bottom