Kituko Taifa; Nani Awajibike?

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,141
13,215
7243_470630763019119_2144322144_n-1.jpg
bango linaoonyesha orodha ya wachezaji wa Ivory Coast likiwa na jina la Morocco....copy and paste? au alisahau ku save?
 
Bango hili lilimfanya mwambata wa wageni kufura kwa hasira
 
kuna mtu alienda na maji baada ya uzembe wa CD, HAPA NANI AWAJIBIKE?
 
Hata orodha ya wachezaji wa Starz wanaoanza iliweka ya mechi ya Morroco, majina kama ya Ngassa na Aggrey Morisa bado yalionekana
 
watanzania hatupo responsible hata kidogo,watu hawatimizi majukumu yao kwa umakini hata tone
 
siwezi kuamini hili na kama ni kweli basi ni dhahiri Tanzania imefikia mwisho wa kufikiri na kutenda na sio ajabu timu zetu zimejitoa Kagame kwa kisingizio cha usalama wakati sisi wenyewe tukilipuana Arusha.
Hii ni mbaya zaidi
 
umenikumbusha jinsi Membe alivyokua natokwa na povu kusema wenzetu hakuna usalama
 
I saw this...! ver sad indeed....ila uwajibikaji bongo ni msamiati ambao bado haujaingia kwenye kamusi!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom