Umelazimishwa kununua?Maajabu ya huu mgahawa wa JNIA..
Soda ya chupaaaaaa.... tshs 3,500...
Sodaaaa... tshs. 3,500... na serikali ipo inaangalia tu.. huu ni wizi na ujambazi wa wazi, na hasira sana na huyu mchina kafungua hii Cafeteria pale JNIA... na hasira sana
Inawezekana asilimia 100...hivi unaweza enda China halafu ukakuta muuza Mgahawa airport hajui kichina? au ujerumani nk
watakuwa waosha viombo.Inawezekana asilimia 100...
Tuna ndugu zetu Wa Tanzania na Mataifa mbalimbali wameajiriwa na wanafanya kazi mbalimbali zikiwemo Migahawa na hawajui kichina wala Ki Jerumani...hiyo ni Globalisation at its best....
Kama akili yako inawaza pumba mambo muhimu hayana nafasi kichwani mwako.Kituko ni nini sasa hapo, umeandika pumba
Kweli mkuu, kuna wachangiaji wasio na uelewa na uzalendo wanaona sawa tu, wacha wawekezaji walete hata wafagizi kutatua tatizo la ajira kule wanakotoka.Mi nafikiri hakuna mtu asiyetaka wawekezaji!!Dunia nzima inakwenda kasi kwa sbb ya uwekezaji.
Suala ni je,taratibu za uwekezaji huu zinafuatwa??Pale juu ule Mgahawa ni wa Muhindi,huwa anapata hizo tender kwa magumashi sana,ile ni Flamingo ya ndani na kuna nyingine pale nje.Kaajili wahindi ambao ni kazi zinazoweza kufanywa na watanzania kibao tu
Lkn kwa sbb hata sisi uzalendo ulishatutoka,basi hatuoni hili ni tatizo
Watu wanasema heri wajinga kuliko wapumbavu.Kituko ni nini sasa hapo, umeandika pumba
Pamoja na kujifanya wewe ndio mjuaji zaidi na mwenye IQ ya juu lakini ndio wale wale tu,
Chukulia mfano wa Dubai international airport,kuna wahudumu/waiters kibao tu kwenye migahawa ya airport na hawajui kiarabu na wala sio waarabu! Qatar,Saudi arabia na hata Ujerumani ni hivyo hivyo pia,
Unaonekana hujawahi kutoka nje ya mipaka ya Tz,unaandika kwa hisia tu,mimi naandika/nacomment kwa experience.
Mleta mada bila shaka itakua hiyo ni mara yako ya kwanza kutumia Airport kwa ajili ya safari ndio maana umeshangaa kuona vitu ambavyo ni vya kawaida tu kwenye nchi nyingi tu.
Machizi wen humu JF! Kale kautafiti kana ukweli sanaKweli mkuu, kuna wachangiaji wasio na uelewa na uzalendo wanaona sawa tu, wacha wawekezaji walete hata wafagizi kutatua tatizo la ajira kule wanakotoka.
Watu wenye akili finyu wanaona sawa tu, huku vijana wengi hawana kazi mitaani.
Ndio uwezo wako wa kufikiri ulipoishia hapo?Lazima utakua muhaya wewe au mnyaki!
I ve given that a serious thought, lakini hebu nitonye, nitapitaje na vitumbua pale wanapo scan mizigo?Nenda na vitumbua vyako, pale nunua chai tu.
Huo si utetezi, katika mitanzania mijizi na wewe umo!Mitanzania mijizi, ilikuwepo hapo imeiba wee mpaka mwenye mgahawa kaamuwa aweke mdosi.
Kilimanjaro chasaka ana bei yake hasa kwenye Mahari hulipishwa bei juu kuliko RAIA wa kilimanjaroWapi huko wanauza chakula kwa bei ya kubagua kama wewe ni raia au la?