Kituko cha wanafunzi na prof.

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,969
1,393
Leo nilikuwa class tukiwa watu 3 na Prof. wetu..Prof akaanza kufundisha jamaa zangu wawili wakaanza kupiga story kwa hiyo Prof akaendelea kufufundisha bila kujari wale jamaa zangu wawili waliokuwa wanapiga story wala kuwapa warninng la kukaa kimya..akafundisha nikawa namsikiliza mwenyewe, jamaa hata habari hawana..Prof akafundisha baadaye nikamwambia nimechoka..akaubali niondoke kupunzika jamaa then wanamuliza Prof.kwani kipindi kilikuwa kimekwisha anza na Prof.akawauliza kwani nyie mlikuwa darasani?
 
Darasa gan hilo lina wanafunz watatu?afu hata hakichekeshi.
 
Leo nilikuwa class tukiwa watu 3 na Prof. wetu..Prof akaanza kufundisha jamaa zangu wawili wakaanza kupiga story kwa hiyo Prof akaendelea kufufundisha bila kujari wale jamaa zangu wawili waliokuwa wanapiga story wala kuwapa warninng la kukaa kimya..akafundisha nikawa namsikiliza mwenyewe, jamaa hata habari hawana..Prof akafundisha baadaye nikamwambia nimechoka..akaubali niondoke kupunzika jamaa then wanamuliza Prof.kwani kipindi kilikuwa kimekwisha anza na Prof.akawauliza kwani nyie mlikuwa darasani?[/ jaman hiki si kichekesho cha watoto wa nursery_sasa jukwaa limekuwa kwel jamvi, tulianza kuelezwa habr kubwa za nch, wakaondoka wakaingia vijana wa chuo_story ni boom na mengneyo, sasa tunaanza kupewa mambo ya makongo, jitegemee na shule za msing wameanza kutueleza urahis wa mtihan wa hisabat mwaka huu_wewe umekuja kufunga kaz kwa hik cha kuwahimiza kusoma watoto wa nursery! Kaz ipo_cpat picha ya jf in 2015
 
Mkuu, ni chuo gan hapa tz au popote dunian ambacho kimefkia ratio hyo? Yaan 1prof/3students!!!! Kumbe 2fanye mchakato wa jurud clas tena.
 
Mkuu, ni chuo gan hapa tz au popote dunian ambacho kimefkia ratio hyo? Yaan 1prof/3students!!!! Kumbe 2fanye mchakato wa kurud class tena.
 
''fikiri kabla ya kutenda'',huyu ndugu haka ka-msemo nafikiri amekasahau
 
Leo nilikuwa class tukiwa watu 3 na Prof. wetu..Prof akaanza kufundisha jamaa zangu wawili wakaanza kupiga story kwa hiyo Prof akaendelea kufufundisha bila kujari wale jamaa zangu wawili waliokuwa wanapiga story wala kuwapa warninng la kukaa kimya..akafundisha nikawa namsikiliza mwenyewe, jamaa hata habari hawana..Prof akafundisha baadaye nikamwambia nimechoka..akaubali niondoke kupunzika jamaa then wanamuliza Prof.kwani kipindi kilikuwa kimekwisha anza na Prof.akawauliza kwani nyie mlikuwa darasani?

Kweli mibangi mibaya nilikuwa sijajuaga lol
 
Mbona kama ni tuition hiyo? kiukweli haichekeshi kabisa kama title inavyojinadi kuwa ni kituko.
 
Darasa gan hilo lina wanafunz watatu?afu hata hakichekeshi.

ata mimi namshanga huyu jamaa kwa kukulupuka kubandika hii kitu.

Mkuu, ni chuo gan hapa tz au popote dunian ambacho kimefkia ratio hyo? Yaan 1prof/3students!!!! Kumbe 2fanye mchakato wa jurud clas tena.

Mkuu, ni chuo gan hapa tz au popote dunian ambacho kimefkia ratio hyo? Yaan 1prof/3students!!!! Kumbe 2fanye mchakato wa kurud class tena.
hahhahahha mimi nawashangaa nyie jamaa ...hivi ni vyuo vya mbele ..mbona mimi nilishawahi kusoma semester nzima nilikuwa naenda darasani mtu mmoja..kuna somo nililichagua nikajikuta nipo mwenyewe sasa mnashangaa nini? bila shaka huyu jamiio1 atakuwa anasoma vyuo vya mbele so hakuna cha kushangaa hapa kama hujawahi kuona ,....
 
Level iliyofikia nchi za wenzetu usilinganishe na shule zetu za vodafasta..hii inakuwa hivi..chuo kinatoa ratiba ya semister hiyo..kulingana na course zinazofundishwa chuo husika then mwanafunzi unachagua masomo kulingana na course yako na mda ulionao wa kusoma sasa baadaye semister ikianza utakwenda kwenye vipindi vyako kulingana na ulivyochagua,,kuna vipindi utakuta mko wengi darasani na vingine utakuta mko wachache zaidi kuna vingine utakuta huko peke yako kwenye hilo somo then ni wewe na prof.wako mtakavyojadili namna ya kufundisha..class au officin..
Unaweza kuwa mnasoma course mmoja na mtu lakini kila mtu akasoma masomo yake anayoyataka..muhimu ni kufikisha zile credit zinazotakiwa ili uweze kumaliza..hii inategema na level yako,undergraduate,masters or Phd.

CCM IMEKUFUNGA MACHO..POLE.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom