jamii01
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 1,969
- 1,393
Leo nilikuwa class tukiwa watu 3 na Prof. wetu..Prof akaanza kufundisha jamaa zangu wawili wakaanza kupiga story kwa hiyo Prof akaendelea kufufundisha bila kujari wale jamaa zangu wawili waliokuwa wanapiga story wala kuwapa warninng la kukaa kimya..akafundisha nikawa namsikiliza mwenyewe, jamaa hata habari hawana..Prof akafundisha baadaye nikamwambia nimechoka..akaubali niondoke kupunzika jamaa then wanamuliza Prof.kwani kipindi kilikuwa kimekwisha anza na Prof.akawauliza kwani nyie mlikuwa darasani?