luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,295
- 8,257
Mchaga kupata ardhi popote ni héla yake kwani anavamia? Hata wewe ukiwa na hela utapata ardhi Moshi,tofauti Ni kuwa ardhi ya Moshi ina bei kubwa maana ni valuableMkuu sina maana ya kuwaonea wivu jamaa yangu
Hoja yangu imejikita hapo kwenye ardhi, kwamba why ni rahisi mchaga kupata ardhi Morogoro au Mwanza ila ni vigumu Mluguru kupata ardhi Moshi,
Ila mkuu nimependa lugha unayotumia si ya matusi sana kama wenzako
Tuishie hapa sisi ni Watz, hili halitabadilika.