Kituko cha Mwaka; Mshkaji a-play Porn kwenye Giant Billboard

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,427
85,872
Kijana wa fani ya IT ame-hack electronic billboard (yale mabango makubwa ya matangazo yanayoonyesha Video) na kuweka Video ya Ngono. Watu wengi walijikuta wakitazama video hio na kushindwa kuendelea na safari japo Taa ziliwaruhusu. Dogo huenda akala mvua sita jela ila amewafurahisha watu kidogo. Uko na Mzazi wako au mkweo au wanao sasa kwenye gari!!!! Kazi Ipo

Bored IT worker hacks into a giant electronic billboard and streams Japanese PORN during afternoon rush-hour traffic | Daily Mail Online
 
He/she z very bright, wampe ajira tu though alichofanya si uungwana
 
Back
Top Bottom