Kituko cha mwaka: Kupinga Katiba Mpya huku ukiwa umevaa T-shirt za kuhamasisha Katiba Mpya

System inaiogopa sana chadema
Chadema wakipiga ngoma system TISS wanacheza kuanzia kwa musiba na viji peperushi vyake hadi hawa waigizaji
Yupo wapi mwanaharakati huru????
Wapo wapi waliotishia kumpeleka mahakamani???
Sijui hata inakuwaje yaani. Hii symbiosis iko karibu kufeli
 
Takataka
JamiiForums912657930-1.jpg
 
Wewe ndio unaelewa hivyo, Ila wengi hawawezi kuelewa. CCM wanajua wanachofanya but wanatumia ujinga wa watu kuwaingiza chaka. They know what they are doing. Kumbuka hawajali population ndogo ya elites ambao wanaweza kuchambua na kuchanganua mambo...wapo busy na ignorant mass...
 
Hivi kwa nini hawa vijana wa CCM ni debe tupu kichwani?Hivi ni lazima ukishakuwa CCM ni lazima akili zipeperuke? Hawa vijana wa CCM juzi walijifanya kuwa ni BAVICHA wanaopinga katiba mpya huku wakiwa wamevalia T-shirt za kuhamasisha katiba mpya

Hakuna mtu yeyote ambae angewashtukia kuwa ni UVCCM kama wasingevaa hizo t-shirt. Inaingia akilini kuwa unapinga mambo ya katiba mpya huku ukiwa umevaa t-shirt za kuhamasisha katiba mpy? WTF! Halafu shame enough chombo cha habari cha Taifa kinatumika kurusha propaganda za maji taka! Enyi Wagalatia msio na akili, ni nani aliyewaloga?

Yaani hawa CCM kuandaa propaganda ndogo kabisa namna hii inawashinda? Zile akili za CCM za zamani za kukomboa nchi mbalimbali za afrika na kuleta maendeleo ya kufa mtu kama vile kujenga viwanda vya kutengeneza magari hapa nchini siku hizi zimeenda wapi? Siku hizi CCM wamekuwa kama watoto wadogo waliovaa pampas ambao hawajui la kufanya.

View attachment 1875914View attachment 1875915View attachment 1875916
Sura za Uvccm si unaziona?
 
Hao ni mataga wamepewa buku 7
 
Ifike mahali kila mmoja akatwe angalau vichwa viwili vya hawa mbwa, sio tunalalamika lalamika tu social medias. Inatosha sasa iwe kama kibiti tu
 
Back
Top Bottom