Kitu pekee cha kuibadili dunia ni kalamu

Nasri39

Member
Jul 19, 2021
15
19
✍🏿✍🏿 KITU PEKEE CHA KUIBADILI DUNIA NI KALAMU.

🖌️ Wengi wanasema kuwa Mimi siwezi:
1. Kusoma makala ndefu.
2. Kusikiliza mazungumzo.
3. Matamasha na kadhalika.
👆🏽 Watu hawa kamwe hawezi kuibadili dunia au kufanya mambo ya kipekee, kwani wanakwepa ujuzi.

💧 KUELEKEA SAFARI YA MAFANIKIO.
😁 Ujue nikupe siri na naomba ukajifunze hili fatilia watu wote ambao wamefanikiwa historia zao utakutana na haya

1. Waliambiwa wao hawawez.
2. Walikataliwa mara dufu,walidhalilishwa,walia anguka( kufeli zaidi na zaidi)
3. Ilifika kipndi mwanga wa maono yao kupotea kabisaa!! Ila nyenzo kuu waliyo kaa nayo ni matumaini, kuamini kuwa wao watafanikiwa japo walipewa mifano kama huwezi fanikiwa kwani umefanya mambo mangapi mpka Leo huna chochote?🧏‍♂️ siki saivi hapoa ulipo haijalishi umefeli Mara ngapi ila unacho taka kujua kiwango unachofeli kwa sasa ndo kinaashiria mafanikio makubwa sana utakayo kuja kuwa nayo.

✍🏿Kufeli kwako ni mafunzo makubwa sana ila kwa sasa huwez kuyatambua ila siku ukitimiza ndoto zako ndo utaona umuhimu na faida za kukufanya wewe ufeli.

Jack ma ( bilionea wa kwanza China) anasema kwamba yeye amefeli zaidi ya mara 17, na kukataliwa mara 30 na zaidi ila kufeli kwake na kukataliwa kwake alikuja kutambua umuhimu wake Baada ya kufanikiwa zaidi wengi tunaogopa kufeli,kukataliwa na kadhalika ila tambua kufeli ktk maisha ni somo kubwa sana.

💧Mungu hawezi kukutoa hapo ulipo mpka uongeze kiwango cha ujuzi na mara nyingi kiwango cha ujuzi hutegemeana na kiwango chako cha kufeli
.🧏‍♂️ Unapofeli kuna watu watakudhihaki,kukusema kukutaisha tamaa na kadhalika ila wew usijali hayo ila unacho takiwa kujali wewe ni kitu gani umejifunza kutokana na kufeli kwako.

🙏🙏 Jifunze kutokana na kufeli
🙏JIFUNZE JIFUNZE KUTOKANA NA KUFELI KWAKO
 
KITU PEKEE CHA KUIBADILI DUNIA NI KALAMU.
Wengi wanasema kuwa Mimi siwezi:
1. Kusoma makala ndefu.
2. Kusikiliza mazungumzo.
3. Matamasha na kadhalika.
Watu hawa kamwe hawezi kuibadili dunia au kufanya mambo ya kipekee, kwani wanakwepa ujuzi.
KUELEKEA SAFARI YA MAFANIKIO.
Ujue nikupe siri na naomba ukajifunze hili fatilia watu wote ambao wamefanikiwa historia zao utakutana na haya
1. Waliambiwa wao hawawez.
2. Walikataliwa mara dufu,walidhalilishwa,walia anguka( kufeli zaidi na zaidi)
3. Ilifika kipndi mwanga wa maono yao kupotea kabisaa!! Ila nyenzo kuu waliyo kaa nayo ni matumaini, kuamini kuwa wao watafanikiwa japo walipewa mifano kama huwezi fanikiwa kwani umefanya mambo mangapi mpka Leo huna chochote?🧏‍ siki saivi hapoa ulipo haijalishi umefeli Mara ngapi ila unacho taka kujua kiwango unachofeli kwa sasa ndo kinaashiria mafanikio makubwa sana utakayo kuja kuwa nayo.
Kufeli kwako ni mafunzo makubwa sana ila kwa sasa huwez kuyatambua ila siku ukitimiza ndoto zako ndo utaona umuhimu na faida za kukufanya wewe ufeli.
Jack ma ( bilionea wa kwanza China) anasema kwamba yeye amefeli zaidi ya mara 17, na kukataliwa mara 30 na zaidi ila kufeli kwake na kukataliwa kwake alikuja kutambua umuhimu wake Baada ya kufanikiwa zaidi wengi tunaogopa kufeli,kukataliwa na kadhalika ila tambua kufeli ktk maisha ni somo kubwa sana.
Mungu hawezi kukutoa hapo ulipo mpka uongeze kiwango cha ujuzi na mara nyingi kiwango cha ujuzi hutegemeana na kiwango chako cha kufeli
.🧏‍ Unapofeli kuna watu watakudhihaki,kukusema kukutaisha tamaa na kadhalika ila wew usijali hayo ila unacho takiwa kujali wewe ni kitu gani umejifunza kutokana na kufeli kwako.

Jifunze kutokana na kufeli
JIFUNZE JIFUNZE KUTOKANA NA KUFELI KWAKO
Well said!
 
Mungu hawezi kukutoa hapo ulipo mpka uongeze kiwango cha ujuzi na mara nyingi kiwango cha ujuzi hutegemeana na kiwango chako cha kufeli

100% true
 
Ni kweli hata wakitengeneza ndege lazima na engineer wachore rough sketch ya muundo wa ndege kwa kutumia hiyo kalamu,wakishaiunda na kuikamilisha kila kitu kwa ajili ya kumkabidhi mteja (airline) lazima watu waanguke na sign ya contract na kusaini bank cheques kwa ajili ya makabidhiano .rubani atakayeirusha ndege hiyo lazima asaini flight plan ya hiyo ndege kwa kalamu .akitua nayo pia lazima asaini idadi ya flighthours kwenye logbook yake kwa kalamu...HIVYO BASI NAKUBALIANA NA MLETA MADA
 
Back
Top Bottom