Kitu Mfano wa bomu kilichotua Ngara usiku wa kuamkia jana

Ikwanja

JF-Expert Member
Jul 12, 2011
2,082
581
Wajameni nawaletea picha ya kitu kilichotua Ngara na kiliaminiwa kuwa ni bomu kutoka Goma na mpaka sasa bado wajeda wetu wameshsindwa kukitambua. najua JF kuna wataalamu hu ambao bila chenga wanaweza kusema lolote
 
Attachments

  • DSC03351.JPG
    DSC03351.JPG
    25.4 KB · Views: 956
  • DSC03352.JPG
    DSC03352.JPG
    32.9 KB · Views: 789
  • DSC03353.JPG
    DSC03353.JPG
    19 KB · Views: 683
  • DSC03354.JPG
    DSC03354.JPG
    21.6 KB · Views: 574
  • DSC03355.JPG
    DSC03355.JPG
    33.7 KB · Views: 728
Wajameni nawaletea picha ya kitu kilichotua Ngara na kiliaminiwa kuwa ni bomu kutoka Goma na mpaka sasa bado wajeda wetu wameshsindwa kukitambua. najua JF kuna wataalamu hu ambao bila chenga wanaweza kusema lolote

Si jana mmetangaza eti mnaomba kibali cha kupeleka batalion moja? Hizi ni salaam za rasha rasha toka kwa hao waasi!!! Halafu kama tumeshindwa kukitegua au kufahamu undani wake hadi sasa hivi ina maana kitaalam waasi wanatuzidi kete!!! Kule ufadhili ni wa hali ya juu sana Tz tusijitie kimbelembele hapa!! Kisa eti Kabila ni mwenzetu kakulia Tanzania!!! Hayo madini mnafaidi? Mwambie aachie ngazi kabla hawajampeleka kunako kama baba yake!! Aende akaishi kwenye lile palace/kasri lake kule kunduchi!!
 
kwa uzoefu wangu na uelewa wangu hilo ni Bomb, ukiangalia picha ya kwanza ndo inalionyesha vizuri. 100% ni Bomb so be carefull ; kwenye Bomb kuna components zake kama, ditonator, improvised wire zinaweza onekana hapo ,source of energy can be vissibly seen but this depends on the types of the bomb in question. Kwa kifupi mimi naona hilo ni bomb na kujilidhisha wataalam wa mabomb wajulishwe kwa utekelezaji zaidi.

Ni kweli Mweshimiwa Bernad Membe jana alijipambanua kuwa tupewe nafasi JWT ili tumalize kazi ya Kongo kuhusu wanajeshi wa M23; Basi hizo zinaweza kuwa ni salaam kwetu kwamba M23 wako tayari na wanasubiria hilo jeshi letu JWT tukatulizwe. Kwa basara na ustawi wa Taifa letu lazima tuangalie vizuri haya mauwamuzi ya kwenda Kongo, nijuwavyo awa waasi wanasuportiwa na Rwanda pia Uganda sasa kama tunakwenda kupigana na hizo nchi tujue kuna kazi isiyo na kikomo. Kutamka kuwa tutakwenda kumaliza kazi ni rahisi lakini consequencies za vita ziko wazi na tuliokuwa watu wazima ile vita ya Uganda na AMINI 30/10/1978 madhara yake tunayajua. tujiulize watanzania ni faida hipi tukienda vitani Kongo tutazipata, na je ni kwa nini serikali ya Kabila imeshindwa kwa miaka mingi kuwasupress hao M23 je hao Waasi nyuma yao kuna nani?. Tukijua majibu ya maswali hayo huku tukizingatia kuna tunao mzozo unaofuka na Malawi tunaweza kuwa wapole. Ushauri wangu tuwe wapole, tutulie ili tujenge nchi yetu, kwani mfano huko wazi kwa wakenya walivyokwenda kwa Al-shabaab ni vifo kila leo na wanajuta kwa nini wamejiingiza kwenye vita hii isyo na kichwa wala miguu.
Swala hili tusilichukilie kirahisi hivyo.
 
Kwa nini asijenge kwao Rwanda anakuja kujenga kwetu Tanzania, alipateje ardhi ya kujenga wakati yeye siyo Mtanzania
 
Rwanda Mkuu? Mbona Rwanda iko upande wa Waasi!!!!! Tanzania baba yake alikulia na watoto wote!! Nyumba yao ilikuwa Buyuni njia ya kwenda Kunduchi kama unafahamu DSM na ilizeeka ikabomolewa wakati wa ujenzi wa Barabara!! Sasa ana nyingine maeneo hayo hayo beach!!! Wale wameishi huku na dadaye yuko huku anaendeleza Biashara!! Ni wenzetu ati!!! Rwanda hana lake kule hata kama ni mtusi/mhutu.
 
Sawa basi tupeleke majeshi yetu kwa kuwa ni mwenzetu
 
Yaani mkuu kwa kujikomba watapeleka wakati wananchi huku tunakufa njaa!! Na miezi mibaya ya njaa yaja, desemba hadi March ni balaa!! Tanzania sijui tunafikiria kwa kutumia nini?
 
Hii ni joke -- Kiingereza wanaita prank. Hiyo ni chupa tupu kubwa ya maji ya plasti iliyojazwa upepo na kuvimba to the maximum!
 
kwa uzoefu wangu na uelewa wangu hilo ni Bomb, ukiangalia picha ya kwanza ndo inalionyesha vizuri. 100% ni Bomb so be carefull ; kwenye Bomb kuna components zake kama, ditonator, improvised wire zinaweza onekana hapo ,source of energy can be vissibly seen but this depends on the types of the bomb in question. Kwa kifupi mimi naona hilo ni bomb na kujilidhisha wataalam wa mabomb wajulishwe kwa utekelezaji zaidi.

Ni kweli Mweshimiwa Bernad Membe jana alijipambanua kuwa tupewe nafasi JWT ili tumalize kazi ya Kongo kuhusu wanajeshi wa M23; Basi hizo zinaweza kuwa ni salaam kwetu kwamba M23 wako tayari na wanasubiria hilo jeshi letu JWT tukatulizwe. Kwa basara na ustawi wa Taifa letu lazima tuangalie vizuri haya mauwamuzi ya kwenda Kongo, nijuwavyo awa waasi wanasuportiwa na Rwanda pia Uganda sasa kama tunakwenda kupigana na hizo nchi tujue kuna kazi isiyo na kikomo. Kutamka kuwa tutakwenda kumaliza kazi ni rahisi lakini consequencies za vita ziko wazi na tuliokuwa watu wazima ile vita ya Uganda na AMINI 30/10/1978 madhara yake tunayajua. tujiulize watanzania ni faida hipi tukienda vitani Kongo tutazipata, na je ni kwa nini serikali ya Kabila imeshindwa kwa miaka mingi kuwasupress hao M23 je hao Waasi nyuma yao kuna nani?. Tukijua majibu ya maswali hayo huku tukizingatia kuna tunao mzozo unaofuka na Malawi tunaweza kuwa wapole. Ushauri wangu tuwe wapole, tutulie ili tujenge nchi yetu, kwani mfano huko wazi kwa wakenya walivyokwenda kwa Al-shabaab ni vifo kila leo na wanajuta kwa nini wamejiingiza kwenye vita hii isyo na kichwa wala miguu.
Swala hili tusilichukilie kirahisi hivyo.

uganda na rwanda wao wanafaidika na dhahabu ndiyo maana wanawasaidia waaasi.Hiyo ni halali yao wafaidike maana katika makubaliano wakati marehemu kabila akisaidiwa na rwanda kuchukua nchi sharti mojawapo lilikuwa ni kufaidika na raslimali ikiwemo madini, lakini baadaye kabila aliwageuka rwanda..

hilo ni bomu maana ukiangalia vizuri striker hapa chini picha pili na kwenye picha zilizowekwa hapa juu zinafanana kabisa

hand-grenade-4.jpgec1ede92-5bbc-4c4e-af0a-8cd7e340c3d5Larger.jpg
grenade-delay.gif
 
Hii ni joke -- Kiingereza wanaita prank. Hiyo ni chupa tupu kubwa ya maji ya plasti iliyojazwa upepo na kuvimba to the maximum!

Kama huamini mzee wasiliana na jamaa yako yeyote aliyej=ko Ngara. Taarifa hii haijatoka rasmi kwa sababu bado hiyo issue inawachanganya wajeda wanashindwa kufanya conclusion.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom