Kitu kigumu kutoka tumboni kimekwama mnyeoni.

Jumakidogo

R I P
Jul 16, 2009
1,851
417
Ndugu zangu madokta ndani ya JF. Jana usiku wakati naenda haja kubwa nilihisi tumbo la kuharisha ambapo wakati ikitoka nilihisi kuna kitu kinachoma na kusababisha maumivu makakali sana. Nilipojaribu kugusa nikakuta kitu kigumu kama mfupa kirefu kidogo. Hata hivyo pamoja na kujari kukitoa nilishindwa na kuamua kukirudisha ndani zaidi. Nilipofanya hivyo maumivu yakapungua kidogo. Mpaka sasa naogopa kama ntashikwa na haja sijui itakuaje. Naomba huduma ya kwanza tafafadhari.
 
Piga papai za haja, mboga za majani ambazo zimepikwa kidogo ama 'blanched'- unaziosha halafu unatumbukiza kwenye maji moto tu na kutoa then unakatakata. Hiyo risasi itatoka tu. Pole, huhitaji kwenda hospitali.
 
Nahitaji huduma ya kwanza kabla sijaenda hosptali. Nipo kijijini
chukua ukwaju kama nusu kilo roweka kwenye maji kiasi, osha mikono iwe safi, pekecha ukwaju hadi ganda la mbegu lilainike, toa mbegu na hakikisha mchanganyiko huo ni mzito kama uji, ongeza asali kama unayo kama huna weka sukari, kunywa mchanganyiko huo asubuh kabla hujala kitu chochote uchafu wote ulioko tumboni hadi ulioganda kwenye utumbo utatoka. KUMBUKA KUKAA KARIBU NA CHOO. kila la kheri
 
Rumburiya, hahaha! Naona unakaribia kuwa mrs mzizi mkavu, hongera sana! Niliona hii kitu kwa dr ndodi pia, natumaini itamsaidia
chukua ukwaju kama nusu kilo roweka kwenye maji kiasi, osha mikono iwe safi, pekecha ukwaju hadi ganda la mbegu lilainike, toa mbegu na hakikisha mchanganyiko huo ni mzito kama uji, ongeza asali kama unayo kama huna weka sukari, kunywa mchanganyiko huo asubuh kabla hujala kitu chochote uchafu wote ulioko tumboni hadi ulioganda kwenye utumbo utatoka. KUMBUKA KUKAA KARIBU NA CHOO. kila la kheri
 
Mzeee hujapigwa kipapai kweli?? iweje tumbo la kuharisha lije jiwe?? nenda kwa mganga wa jadi kabla hali haijawa tete
 
we vp huduma ya kwanza si ndio hiyo ushajipa ya kukirudisha ndani na maumivu kupunguza! wahi hospital haraka. na hili la mgomo wa ma dr nakupa pole mkuu

anahitaji kuendelea kusubiri mpaka pale serikali itakapofuta kauli za kejeli dhidi ya madaktari. Tumeextend mgomo hauna kikomo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom