Kitu gani ulishafanyiwa na mpenzi wako katika siku kama ya leo na kikakufanya uone kua we ni wapekee zaidi kwake?

Umenikumbusha valentine ya mwaka 2020, Nilijitutumua nikamuandikia ujumbe babe nikamuandalia dinner.
Kilichotokea dinner asiile, kwenye simu yake amemuwish babe wake alafu akamchunia, mimi io siku nikaninuniwa.

Nikapigwa na kitu kizito kichwani
Na mahanjumati ukala mwenyewee
Hii dunia haiko serious kama sisi tunavyotaka kuichukulia serious kwenye ishu za mahaba
 
mi nasubiria wakunitengenezea bango km la zamaradi liwekwe pale AZIKIWE ndo njia yangu kwa miguu yaani ntajionajeee.
 
Hakuna aliyekuwa na true love kama mm
Sema nkaja gundua kwamba duniani kumejaa wasanii na watu hawako serious kiviiilee linapokuja swala la mapenzi
So na mm sku hizi walaaaa sipo serious kiviiileee
Na hii ndio hua chanzo cha mapenzi mengi kuharibika na mtu kuanza kutokua na mapenzi ya kweli pale anapokuja kufahamu ukweli wa mambo
 
Back
Top Bottom