Kitu gani ukichanganya kwenye pombe mtu analewa haraka sana?

masara

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
1,738
2,279
Nilipokuwa mtoto au mdogo mwishoni mwa miaka ya tisini kaka yangu(binamu) alikuwa hapitwi na dadaz wakali kwa kipindi kile. Ikatokea alimpenda dada mmoja jirani mzuri sana (ila ni marehemu; Mungu aiweke roho yake mahali panapostahili). Kwa vile yule dada alikuwa mtumiaji wa moja moto, moja baridi. Kaka alimuita kwake na kuaza kumpa maji ya dhahabu.

Lakini inasemekana baada ya yule dada kwenda kukojoa kaka aliweka mkojo kiasi kwenye kwenye glass ya bia. Na shemeji aliporudi alikunywa bila kujua. Ndani ya dakika chache shemeji alikuwa hajitambui na ikawa kazi rahisi sana kwa kaka kufanya UBAKAJI wa kimya kimya.

Hii tabia ya kuchanganya vitu kwenye pombe sio ngeni ndio maana unashauriwa unapenda chooni hakikisha unamaliza bia kwanza. Ila tatizo bado watu wanaweza tupia unga hivyo bado hautajua.

Kwa wale wenye kujua watuambie na kama ilishakutokea pia utuambie ulikwepa vipi ili na wengine wajifunze pia.

NB:nimeweka uzi huu ili watu wajue na wawe makini wanapokuwa na watu wanakunywa hivyo naomba usifutwe
 
Iyo njia ya mkojo ni sahihi huwa inatumiwa na wengine sana

Yan kamkojo kidogo tuu ndan ya kizibo inatosha....

Au chukua ile filter ya sigara dumbikiza humo zen kamulia zen ile filter itupe tuu uyo mtu atakavyo lala acha tuuu

Ulishawai kwenda na mtu bar kira baada ya bia mbili anaenda toilet cha ziada baada ya kukojoa huwa wanalamba blue band kukata pombe ili asilewe...

Ntajazia zaid ngoja niongee na uyu Mhudum...

Waiter zungusha tena faru john na ice cube
 
DUH nimejifunza
 
kufanya hivyo ni kuuchosha na kuharibu mfumo wa mwili;kila kinywaji kimethibitishwa kwa kilevi kilichomo kwahiyo unavyotengeneza mchanganyiko wako ni kuangamiza afya ya mtumiaji
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom