Kitu gani kizuri kupita vyote katika maisha ya mwanadamu?

JIBU:Kuupata Wokovu. Najina lako kuandikwa Mbinguni. Wana Jf naomba kujuzwa.
Vs
SWALI LA MTOA MADA:Ni kitu gani kizuri kupita vitu vyote hapa duniani ambacho mwanadamu akikifanya hujisikia faraja zaidi? Mfano wengine usema kuwa ni usingizi, chakula, mazungumzo, tendo la ndoa n.k. Wewe mwana JF, ni kitu gani bora zaidi. Karibu tufunguke.
Au kajibu mwanaasha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom