Kitu gani kinakufanya umpende mpenzi wako zaidi?

mwenzio napenda gal wangu pale anaponuna coz hufanya kila njia nimdanganye danganye then nidumbukize dudu, afta hapo tutacheka na kufurahi pamoja. NAMPENDA MY GIRL!
 
Hahaha! Mi napenda wakali na wakorofi lakini nakuvulia kofia we chiboko lol!

wewe na mm tofauti yetu ndogo sana.......huku Mbagala lazma ngumi jiwe kupambana na makundi ya vibaka kama watoto wa mbwa na fisi
 
Duuuh,Hayo ni majanga.Ki-msingi jamani ni kuombeana tu ili kupunguza mapungufu ya kila mtu alikokuzwa.Kwani kila mtu anamatatizo yake katika mahusiano.Isipokuwa mwanaume ameumbwa awe kiongozi wa mwanamke.Lakini mume asimnyanyase mke.Wala mke asimnyanyase mke.Hapo mambo yatakuwa bambam kabisa.
 
Status:SINGLE,NOT READY TO MINGLE
JF kweli ndo penyewe,u get to see the world in another persons' eyes...hapa mi msomaji tu
 
Narudi walau nije kufupisha maana ntajaza kurasa zote.....mwanamke napenda raha mie lol;););););)
 
Duuuh,Hayo ni majanga.Ki-msingi jamani ni kuombeana tu ili kupunguza mapungufu ya kila mtu alikokuzwa.Kwani kila mtu anamatatizo yake katika mahusiano.Isipokuwa mwanaume ameumbwa awe kiongozi wa mwanamke.Lakini mume asimnyanyase mke.Wala mke asimnyanyase mke.Hapo mambo yatakuwa bambam kabisa.

amen na mungu akubariki
 
nampenda sana mchumba wangu kwa sababu ya tabia zake,mpole,msikivu,nikipanda ushuka,mvumilivu sijapata ona na mwaminifu japo simzuri wa uso ila undan wake ulinifanya nibadilike kwa kumuonea huruma da so much i love this lady
 
undani wake ulikufanya umuonee huruma. Loo sijapata ona kumbe kupo kumpenda mtu kwa kumuhurumia
 
Mi napenda mwanaume anayejiamini na muelewa Basi kilakitu kitaenda mwake
 
Kunijali
Kunipa furaha
Muonekano wake alivyo smart
Mawasiliano
Akicheka ana mwanya
Mengine siri yangu jamaniiiiiiiiiii lolll
 
nampenda sana mpenz wangu sio sharo yupo smart,mweupe ,mpole kiasi ukiachana na hayo tukiwa kwa bed ni nomaa ananifikisha nnapotaka na mimi namfikisha pia mungu akipenda atakua mume wangu.
 
nampenda sana mchumba wangu kwa sababu ya tabia zake,mpole,msikivu,nikipanda ushuka,mvumilivu sijapata ona na mwaminifu japo simzuri wa uso ila undan wake ulinifanya nibadilike kwa kumuonea huruma da so much i love this lady

Sasa unampenda au unamuonea huruma??
 
nampenda my hubby to be:
.so handsome/mrefu napenda kila kitu chake
.mchapa kazi/mtafutaji
.he s proud of mi
.ananijali/hapendi kuniona cna furaha na he s committed
.mpole ana huruma na roho nzuri
.sio sharobaro he s gentleman
.msikivu/ananisikiliza
.ni mtu wa kujishusha
.mwepesi wa kuomba msamaha anapojua amekosea
.ananisaidia kazi lyk kupika, kufua

nb :hakuna alitekamilika
yote 9, 10 nikinuna jamani kubembeleZwaaaa weee dah basi tu

such a husband material, so loving mi mwenyewe nimetuliza ball
 
Back
Top Bottom