Kitu gani kinakufanya umpende mpenzi wako zaidi?

Endeleeni kuishi maisha ya kufikirika.Mademu wenyewe wa kibongo?We jifanye unarembaremba,sweetheart nyingii,siku ukisikia masela kitaa wanakamua mzigo ndipo utatia akili!

Hahahah, Maaaaaaan this is really funny.
 
awe tu ananisaidia na kushirikiana na mimi kwenye majukumu yangu, anishauri,anisikilize na awe nguzo yangu nikiwa kwenye mitihani ya maisha.....zaidi awapende ndugu zangu na rafiki zangu wa karibu na kuwaheshimu......!!!!
 
Endeleeni kuishi maisha ya kufikirika.Mademu wenyewe wa kibongo?We jifanye unarembaremba,sweetheart nyingii, siku ukisikia masela kitaa wanakamua mzigo ndipo utatia akili!

Hahahahaha lol!
 
Nami napenda sana hizo character. nahisi tutakuwa perfect match, how do u see. Usintose tafadhali.
 
Mi napenda awe yeye,sio yale mambo oh sijui awe hivi awe sijui vile,huko ni kujikopi nataka awe real!
 
mwanamke msikivu ananiteka kila nyanja.........sipendi wanawake wenye papara.papara nikiwa na maana anaamua kufanya vitu bila ridhaa ya kwangu .......wanawake waliowengi wana mapungufu ndo maana kwa sisi tunaishi mjini tumeshuhudia kina mama wengi wakitapeliwa tatizo haraka /tamaa huwa zinawaponza
 
Napenda mpenzi wangu anavyonisikiliza na kunipa kipaumbele kwenye kila kitu anachofanya, i love the way he loves, cares for me
 
Mie napenda...
1.Akila kitu bila majivuno..
2.Akinipa the whole thang..
3.Blow job hata tukiwa tunapika..
4.Asinipe Tigo hapo tutagombana.
5.Atembee na Kichupi kimelowana kwa mbali kuona utamu...
mengine mie namfanyia kama anavyotaka...Uvinza kila siku lazima niende...
 
Napenda sana nipate penzi tamu na kila wakati ani remind kwamba ananipenda kila anapopata nafasi, napenda mwanaume anayejua nafasi yake kama mwanaume, i like responsible man
 
napenda sana nipate penzi tamu na kila wakati ani remind kwamba ananipenda kila anapopata nafasi, napenda mwanaume anayejua nafasi yake kama mwanaume, i like responsible man

ahhh..............lol
 
Gaga inaelekea wapenda kudeka wewe. Mimi pia napenda ila najikuta kila siku mimi ndio mdekezaji.


Napenda sana nipate penzi tamu na kila wakati ani remind kwamba ananipenda kila anapopata nafasi, napenda mwanaume anayejua nafasi yake kama mwanaume, i like responsible man
 
Back
Top Bottom