Kitu gani kinakufanya umpende mpenzi wako zaidi?

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Jamani mi napenda sana pale girl wangu anapokuwa mcheshi,anapokuwa ananichokoza mfano amenifinya,kunikumbatia,nikirudi home/geto anipokee kwa kiss,asiwe mbishi,awe anajua kubuni mbinu za mapenzi,napenda pale anaponishauri,asiwe ananuna heri ananiambie live kinachomkera,sipendi nimwumize,niwe nacheza naye game za computer,kuangalia pamoja michezo kama soccer,maigizo,movie,kama niko free awe ananiomba tupike pamoja,kiujumla awe ananishirikisha kila kitu.
Kitu gani kinakufanya umpende zaidi mpenzi wako?au kitu gani kinakuvutia uwe unafanya umpende au kushirikiana na mpenzi wako?
 
Navutiwa na hivyo hivyo ulivyotaja wewe. Your wife/partner must be lucky if you real "walk the talk" .

ni kweli... hizo ni ndoto za kufikirika, it is so 'abstract' and 'ideal'..Na sijui una miaka mingapi?? ngoja uyakute yenyewe yenyewe ndipo utajua kwa nini watu wanaachwa na kuachika...

stay tuned
 
Mi napenda kufanyiwa vyote vizuri vinavyohusu mapenzi katika dunia ila mi sipendi mwanaume anaepata hasira kila wakati na sababu ya kijinga.
 
Rangi mbili nilishaachwa sana,kwahiyo siyo ndoto
 
Mi napenda kufanyiwa vyote vizuri vinavyohusu mapenzi katika dunia ila mi sipendi mwanaume anaepata hasira kila wakati na sababu ya kijinga.

uko sawa,mi sipendi pia mwanamke mwenye hasira na mbishi
 
Endeleeni kuishi maisha ya kufikirika.Mademu wenyewe wa kibongo?We jifanye unarembaremba,sweetheart nyingii,siku ukisikia masela kitaa wanakamua mzigo ndipo utatia akili!

sio hata kukamua,we anakubania wengine wanamla tigo
 
I know what u mean,but kama ni mwongo au mbishi?

Ubaya mmoja hapa duniani huwezi kupata mtu mwenye 'good qualities' zote unazotaka..akiwa na hiki atapungukiwa na kile au na wewe kwake hajaona ni mtu wa ndoto zake..hivyo basi unapokuwa na mtu kimapenzi/ndoa inabidi uweze ku-accomodate hizo weakness zake na yeye hivyohivyo..
Vipi akiwa mwongo na mbishi ila anakuheshimu, anakupenda, anakujali, outing kwa sana tena wote??! umeona eeh yani kila mtu ana package yake duniani!!!
 
And you may think that you have all qualities,but your partner sees different!

But kwangu asiwe mbishi tu
 
Back
Top Bottom